but
MziziMkavu kweli nitamuombea sana tu na ukweli sikufichi ntakwenda kumtafuta pale chuoni najua nitampata tu ili pia niongee naye physically.
lakini rafiki hata wewe ulikosea sana pengine kwa kutokujua, ila liwe funzo kwa wababa wengine wote. siku zote unapozaa hata kama martenal divorcee anahaki ya kubaki na mtoto mzazi wa kiume yampasa sana kuonyesha kujali. Kwanini nasema hukujali? To me hakuna faida kama nitakuwa natafuta maisha wakati mwanangu anaish kama mtoto asiye na baba. Sawa labda ulikuwa masomoni but there were other alternatives. Ona sasa jinsi ambavyo mwanao atakuwa na chuki dhidi ya mume wa mama yake. Pia imagine shida alizopata huwez jua aliwaza nini, istoshe mimi huwaga nasema furaha ya siku nisiyokuwa na amani ni bora kuliko furaha ya siku amani ipo.
wewe ulijali nafsi yako kwa kiasi kikubwa na nafikiri ulijua money can buy anything kwa mwanao kitu ambacho hakikufanya na mpaka sasa bado nafsi inauma sana.
Ushauri kwa wababa wengine jamani watoto wa kulelewa na mzazi wa kike huwa wanateseka sana, si tu kimaisha hata kimaadili. watoto wa aina hii ni wahanga wa maisha ya dhiki yasiyokuwa na mtetezi, na pia ni wahanga wa maadili mabovu yasiyokuwa namsimamizi. wanawake wachache sana tena sana, ambao wanaweza kuachwa wakalea watoto katika maadili mema na mwishowe wakafanikiwa sana.
chunguza sana familia nyingi ambazo watoto wa kike wamezalia nyumbani pasi kuolewa wengi wao wanalelewa na mzazi wa kike, hata wanaopata mimba wakiwa wanafunzi nwengi ni wa mzazi mmoja tena wa kike. so inapotokea ishu ya divorce ni bora baba na mama watalikiana mkaliangalia hili kwa mapana sana.
sikusemi vibaya rafiki yanu but am there to assist, so sad and sorry fofr the boy.