princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #41
Sinywagi pombeKwa mimi uchovu wa namna hii, nabadili chakula cha mchana nakula matunda au kachumbari ya uhakika alafu napiga mazoezi asubuhi na saa nyingine jioni
Simalizi hata siku 2 nakuwa fiti.
Ila pia msongo wa mawazo husababisha uchovu usio wa kawaida,,, pengine una jambo linalokuumiza akili au unywaji wa pombe kupita kiasi huleta matokeo ya namna hii.
Badili mlo wako mmoja kwa siku uwe ni matunda au ukatekate nyanya, vitunguu, matango, karoti, na pilipili kama unatumia alafu kamulia limao uchanganye vizuri ule. Mchanganyiko huu utakufanya upate na hamu ya kula kama ulikuwa huna hamu ya kula.
Kubwa kuliko yote usikubali akili yako kuwa na stress! Ibebeshe akili yako mambo inayoweza sio yale isiyoweza
La kuhusu mawazo ni kweli kuna mambo yananitatiza sana
Sent using Jamii Forums mobile app