Kujihisi Uchovu muda mwingi

Sinywagi pombe
La kuhusu mawazo ni kweli kuna mambo yananitatiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Vyakula wanga nakula mara nyingi kulingana na jamii zetu mitaani
Nikinywa maji nakojoa mara kwa mara
Ina maana mkuu nmeshapata kisukari[emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kapime kwanza ujue ipo sukari kiasi gani pia Ni vema uende hospitali ya serikali au Kama Ni binafsi Basi nenda hospitali kubwa upate ivipimo kwa usahihi halafu kabla hujaanza meza njugu ulete mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…