Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
hawa watafiti naona wana lao jambo baada ya kuwashauri watawa kutumia kinga ya mimba kama silaha ya kuzuia saratani ya matiti, ovarian na nyinginezo.........hawakutoa ushahidi kama watawa wanadhurika na hayo magonjwa.............Kama hawadhuriki hizi shida ni za nini? Kumeza kidonge kimoja kila siku siyo utani......mimi binafsi siamini kam akuna kidonge umeze kiwe hakina madhara....................madhara yapo ila huwa tunapima madhara ya kutumia dawa na kutotumia yepi ni makubwa na hapo ndio tunafanya maamuzi.....
[h=1]Why nuns might be stoking cancer in quest to stay chaste
[/h]
[h=1]Why nuns might be stoking cancer in quest to stay chaste
[/h]