Kujikunakuna sehemu nyeti mbele za watu sio uungwana

Kuna tabia hii inaboa sana, mpo mbele ya umati halafu kajamaa kanatokeza na kujikuna sehemu zile nyeti.

Tena ukimchunguza unamkuta hana habari kabisa, mpaka ahisi kuna wadau wanamshangaa ndio utaona kama na yeye anashangaa!
fangasi ni kitu mbaya sana na ikikushika vizuri huwezi ona haya kujikuna hata uwe mbele ya jukwaa
 
Mambo yanayoashiria mtu hana ustaarabu na ni mchafu
1. Kutema mate mahali popote
2. Kujikuna sehem nyeti hadharani na kuna wale wanaotembea mikono wanaiweka ndani ya sehemu ya mazingiraa.
3. Kujichokonoa puani na vidole hadharani..

Mtu wa hivi sipendi ukaribu nae kabisa maana kwanza ni wazuri sana kutoa mikono.

Sipendi uchafu mno siwezi hata kuelezea.
 
No 2 kulikua na mkaka chuo, alikua na hiyo tabia, yaan mda wote mkono uko maeneo, hata nje ya suruali anakuna hivyo hivyo.

Siku 1 nlimtolea uvivu, aliachaa
 
Tabia ya hovyo sana, kipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa very smart na vile alikuwa ameshika dini alikua msafi mpaka wa moyo(hakuwahi kumiliki pisi mpaka tunamaliza).
Siku moja nikalala kwake baada ya mvua kunyesha bila kukoma, ile asubuhi tunatoka alijikuna maeneo sana mi nikawa najifanya sioni, hakunawa, akanusa alafu huyo akafunga mlango tukaanza safari ya kuelekea chuo, kabla hatujafika akanunua karanga akanikaribisha, nilikataa kabisa. Nikawaza kumbe huyu jamaa na usmart wake ni mchafu hivi? Nikawaza kumbe anavyosalimia kwa kukupa mkono tunashika uchafu, na anavyopenda kuwapa watu mkono. Nilishangaa sana
 
Kuna tabia hii inaboa sana, mpo mbele ya umati halafu kajamaa kanatokeza na kujikuna sehemu zile nyeti.

Tena ukimchunguza unamkuta hana habari kabisa, mpaka ahisi kuna wadau wanamshangaa ndio utaona kama na yeye anashangaa!
Hatakama uking'atwa na siafu?
Ukijikuna madhara yake kiafya ni yapi?
Kuna tofauti na ukijikuna sikio ilihali vyote ni sehemu za mwili wako?
 
Tabia ya hovyo sana, kipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa very smart na vile alikuwa ameshika dini alikua msafi mpaka wa moyo(hakuwahi kumiliki pisi mpaka tunamaliza).
Siku moja nikalala kwake baada ya mvua kunyesha bila kukoma, ile asubuhi tunatoka alijikuna maeneo sana mi nikawa najifanya sioni, hakunawa, akanusa alafu huyo akafunga mlango tukaanza safari ya kuelekea chuo, kabla hatujafika akanunua karanga akanikaribisha, nilikataa kabisa. Nikawaza kumbe huyu jamaa na usmart wake ni mchafu hivi? Nikawaza kumbe anavyosalimia kwa kukupa mkono tunashika uchafu, na anavyopenda kuwapa watu mkono. Nilishangaa sana
😅😅😅😅😅
 
Kwangu nifikiriavyo ni tofauti ijapo siwezi kujikuna hadharani na ukizingatia km sikulala na mwanamke uchafu mnala wangu unatoa wapi?

Mimi huwa nawachukia wale asubuhi asubuhi akiamka tu mikono yooote kaingiza ndani anakagua km nyeti ipo ama lah.

Nikiwa kijana niliwahi mhoji mama mmoja baada ya kumkuta akifanya upekuzi na ukaguzi,mwanzo akacheka na kuniuliza kwa nini nimekosa adabu kiasi kile,nami nikamzuga kuwa ninafanya utafiti.

Alicheeeka huku mimi nikiwa sioneshi dalili za utani wala kucheka hata kidogo na nikiwa nimesimama kuashiria nasubiri jibu. Akaniambia kwamba ni mazoea tu yanayochangiwa na upatikaji wa joto eneo hilo hivyo anasaka joto.
 
Kuna tabia za hovyo tu,jamaa mmoja kapiga sana simu tukagongee moja moja garden,jua linawaka nikaona poa tu nikapita.
Kanipa mkono nikawa km naona mambo gani haya nikampa tano kalazimisha tusalimiane.
Mi shemeji yake badae nikampa mkono tukasalimiana.
Pale kulikua na mmexico mmoja ndo akatoa siri kwamba jamaa katoka kukojoa hapo hajanawa.
Duh,niliondoka pale haraka sana mpk leo hatuna mawasiliano.
Alivyo bwege connection yote nilikua namtaftia ikaisha hapo.
Nilichukia sana
 
Mambo yanayoashiria mtu hana ustaarabu na ni mchafu
1. Kutema mate mahali popote
2. Kujikuna sehem nyeti hadharani na kuna wale wanaotembea mikono wanaiweka ndani ya sehemu ya mazingiraa.
3. Kujichokonoa puani na vidole hadharani..

Mtu wa hivi sipendi ukaribu nae kabisa maana kwanza ni wazuri sana kutoa mikono.

Sipendi uchafu mno siwezi hata kuelezea.
NAKAZIA nakunyonya mbunye pia na tigo
 
Hili tendo mimi nalifananisha na kitendo ambacho unakifanya bila mwenyewe kupenda yaani unajikuta tu unajikuna sisi tuliosoma biology tunaelewa sana hii kitu!!!!!
 
Acha utani utoke kunyoa vuzi.... utembee jasho lipite eneo la pumbu ule muwasho hata kama mbele yuko rais utajikuna tu....kama umeng'atwa na siafu....au upate fungus wa pumbu ..wale hata mbele ya mungu mwenyewe unajikuna...... ILA NI TABIA MBAYA
 
Tabia ya hovyo sana, kipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa very smart na vile alikuwa ameshika dini alikua msafi mpaka wa moyo(hakuwahi kumiliki pisi mpaka tunamaliza).
Siku moja nikalala kwake baada ya mvua kunyesha bila kukoma, ile asubuhi tunatoka alijikuna maeneo sana mi nikawa najifanya sioni, hakunawa, akanusa alafu huyo akafunga mlango tukaanza safari ya kuelekea chuo, kabla hatujafika akanunua karanga akanikaribisha, nilikataa kabisa. Nikawaza kumbe huyu jamaa na usmart wake ni mchafu hivi? Nikawaza kumbe anavyosalimia kwa kukupa mkono tunashika uchafu, na anavyopenda kuwapa watu mkono. Nilishangaa sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom