Kujikunakuna sehemu nyeti mbele za watu sio uungwana

Kujikunakuna sehemu nyeti mbele za watu sio uungwana

Na wale mnaolamba vidole wakati wa Kula mkiwa public mnakera Sana.
Hakuna tabia inakera unakuta mtu mzima mdada mzuri au jamaa mtanashati kabisa , unakuta anachokonoa pua na kidole mbele za watu .
 
Tabia ya hovyo sana, kipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa very smart na vile alikuwa ameshika dini alikua msafi mpaka wa moyo(hakuwahi kumiliki pisi mpaka tunamaliza).
Siku moja nikalala kwake baada ya mvua kunyesha bila kukoma, ile asubuhi tunatoka alijikuna maeneo sana mi nikawa najifanya sioni, hakunawa, akanusa alafu huyo akafunga mlango tukaanza safari ya kuelekea chuo, kabla hatujafika akanunua karanga akanikaribisha, nilikataa kabisa. Nikawaza kumbe huyu jamaa na usmart wake ni mchafu hivi? Nikawaza kumbe anavyosalimia kwa kukupa mkono tunashika uchafu, na anavyopenda kuwapa watu mkono. Nilishangaa sana
Wanakeraa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom