Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo ingali ni wadogo tu
Unaingia mtandaoni unaona rafiki yako mliyeachana miaka kadhaa nyuma kaweka picha ya gari tayari unataka kumlipa bila kujua hilo gari kapataje, malengo yake yakoje na pengine hata sio lake ila kaazima tu tayari unaingia kwenye mikopo ili nawe ununue gari.
Unapata kazi leo unataka ulingane kimafanikio na mtu ambaye ana miaka kumi kazini kitachofuata ni msongo wa mawazo
Mmeachana leo kesho unamuuona kaolewa/kaoa au yupo na mtu mwingine kimahusiano na wewe bado hujapata unatumia pupa kutafuta mtu ili nawe uonekane umo unaangukia pua na kuongeza msongo wa mawazo.
SAFARI NI TOFAUTI WEWE UNAYEPANDA USITAKE KUJILINGANISHA NA ANAYESHUKA VIVYO HIVYO KUHESHIMU SAFARI YAKO NI JAMBO LA MUHIMU ZAIDI KULIKO KUTAMANI SAFARI ZA WENGINE.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako