Unazingua kinyama yani.Kwa hiyo ni ku-type au?!
Asili yake Msoga mkuuWakuu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo. Inaonekana nimepitwa na wakati kidogo kuhusiana na hili neno "kujimwambafy". Nimekuwa not kilisoma sana hapa karibuni na sielewi kabisa linamaanisha nini. Naomba kujua maana yake.