Kujimwambafy

Kujimwambafy

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,408
Reaction score
1,713
Wakuu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo. Inaonekana nimepitwa na wakati kidogo kuhusiana na hili neno "kujimwambafy". Nimekuwa not kilisoma sana hapa karibuni na sielewi kabisa linamaanisha nini. Naomba kujua maana yake.
 
kwa namna mjadala ulivyoenda kuna uwezekano hili swala la kujimwambafy lilimlenga zaidi mzee mmoja anayejullikana kama meko
 
Wakuu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo. Inaonekana nimepitwa na wakati kidogo kuhusiana na hili neno "kujimwambafy". Nimekuwa not kilisoma sana hapa karibuni na sielewi kabisa linamaanisha nini. Naomba kujua maana yake.
Asili yake Msoga mkuu
 
Back
Top Bottom