Blue-ish
Member
- Aug 26, 2022
- 63
- 120
Hivi huku kujiona huna thamani kipindi huna hela husababishwa na nini? Au kuona aibu yani kama vile huko nje watu watakuwa wanajua huna kitu, au ile hali ya kujiangalia kwenye kioo uone unatisha umepauka, unajiona uko uko tu.
Kutokuwa na hela kunatia unyonge sana.
Kutokuwa na hela kunatia unyonge sana.