Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji.
Hii ni kutokana na siasa za Africa kusini zinazoshinikiza Africa kusini kutoa majeshi DRC pia kwene nchi nyingine kama Msumbiji.
Majeshi ya SADC yamekua yakifanya operation kwene nchi za SADC hivi sasa haswa katika jamuhuri ya Congo yakiisaidia DRC kupambana na M23 na msumbiji ya kisaidia kupambana na kundi la mlengo wa Al shababu linaloisumbua serikali ya msumbiji Kasikazi mwa nchi. Na huko kote jeshi la tanzania limekua likihusika ambako SADC imekua ikiyapeleka majeshi yake.
Kwa ambao hawajui Kundi hili linaisumbua msumbiji kwa miaka zaid ya 10 na lishawai fanya mashambulizi kadhaa nchini mpakana na msumbiji hada jimbo la Cabo del gado!!
Inasemekana Kundi hili linauhusiano mkubwa na Ugaidi uliokua unatokea Kibiti kwa kua lilitaka kujenga himaya yake kati ya Tanzania na msumbiji . Lakini lilikuja kutolewa Awamu ya tano ambapo walifanikiwa kushinda vugu vugu hilo dhidi ya Kundi hilo hatari.