Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
- Thread starter
-
- #41
Wanasaidia msumbiji??Rwanda wanastahili pongezi kubwa Sana kwa hili la kuisaidia Msumbiji kushinda ugaidi.
Anaongea tu labda tuseme ndo alipitiwaUnaweza kuweka source yako inayoeleza chanzo cha mgogoro huo kuwa wa kisiasa kati ya RENAMO na FRELIMO?
Upo hapa mkuu sina rasilimali za kufanya tafuti kubwa hivi!!R
Rudia kusoma Tena hiyo comment yangu, Kuna maelezo ya nyongeza nimeweka.
Aidha, fanya kwanza utafiti wako wa kina juu ya suala hili. Usikurupuke kuandika vitu
Huenda kuna report amesoma, ndio maana nimemuomba aweke source ya claim yake.Anaongea tu labda tuseme ndo alipitiwa
😂😂😂😂itakua n vizuri nasisi tujifunzeHuenda kuna report amesoma, ndio maana nimemuomba aweke source ya claim yake.
wanajeshi wanaoenda huko wanapata mpunga, mojawapo ya ajira hiyo.Rwanda anavuna madini huko. Anataka na vitalu vya gesi. Ukisikia Rwandair inatua Maputo au Pemba jua inaenda kuvusha madini ya mwamba
Sidhani Kama Wana hiyo Nia.Rwanda wameongeza wanajesha 2500 zaidi,kunakoenda msumbiji litakuwa koloni la Rwanda.
Huo ndo upuuzi wa kuwa mwanajeshi au polisi, mnakua pawns mnaotumika kwa masilahi ya wanasiasaRwanda anavuna madini huko. Anataka na vitalu vya gesi. Ukisikia Rwandair inatua Maputo au Pemba jua inaenda kuvusha madini ya mwamba
hongera ya nnHongera Rwanda
Hakuna utawala uliowahi kutokea duniani bila kufanya ukatili na kuumiza wanyonge.Sio makubwa tu Rwanda inakua kwa kuziharibu nchi nyingine.
Kwasababu haina democracia ni nchi ya one man hivo inaweza peleka majeshi popote na kuwatoa sadaka wanajeshi idadi yyte hata kama haifaidiki au hakuna faida kwa nchi
Sasa ndo nini?? justificationHakuna utawala uliowahi kutokea duniani bila kufanya ukatili na kuumiza wanyonge.
Magufuri polisi ndo nn sijaelewaNaikumbuka ile kauli yao.
" Magufuri Polisi wako ni dhaif sana"
Kuwa makini sana na hawa akina econonist , chama cha CDM mizizi na asili yake kubwa ni nchini RWANDA. Kuwa makini sana na hao watu. Na ndio maan haitakaa itokee hiki chama kushika madaraka nchi hii never.hongera ya nn
Nilishasikia hii rumor kwamba uchaguzi fulani walimsapoti bwana yule ashinde uchagyziKuwa makini sana na hawa akina econonist , chama cha CDM mizizi na asili yake kubwa ni nchini RWANDA. Kuwa makini sana na hao watu. Na ndio maan haitakaa itokee hiki chama kushika madaraka nchi hii never.
NB
Siipend ccm.
Tupe details mkuuKuwa makini sana na hawa akina econonist , chama cha CDM mizizi na asili yake kubwa ni nchini RWANDA. Kuwa makini sana na hao watu. Na ndio maan haitakaa itokee hiki chama kushika madaraka nchi hii never.
NB
Siipend ccm.
Kuna mtu nitamleta hapa amwage details 😂Tupe details mkuu
Yan we acha tu, kuna mtu atakuja hapa amwage detailNilishasikia hii rumor kwamba uchaguzi fulani walimsapoti bwana yule ashinde uchagyzi
Tawala zote kubwa ulizosikia na unazoendelea kuzisika duniani hazijafika hapo bila kuumiza tawala zingine...know the rule of the jungle.Sasa ndo nini?? justification
kwaiyo unaamini rwanda ikishaziharibu nchi zingine za kiafrica ndo itakua taifa kubwa??
hii ni sick mentality kudhan nchi inayoongozwa na tribe inaweza ikaishinda empire
Tribe cannot conquer Empire~JK nyerere