DOKEZO Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini nchini Msumbiji na kuiacha Tanzania na Rwanda dhidi ya kundi la kigaidi la Ansar al-Sunna kuna maana gani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tawala zote kubwa ulizosikia na unazoendelea kuzisika duniani hazijafika hapo bila kuumiza tawala zingine...know the rule of the jungle.
Shida huelewi!!
Africa should fight as one national siyo hizo izo idea zako za Cat eating Cats
 
Unaweza kuweka source yako inayoeleza chanzo cha mgogoro huo kuwa wa kisiasa kati ya RENAMO na FRELIMO?
Nisingependa kueleza kwa undani sana kuhusu suala hili, lakini nakushauri wewe binafsi pamoja na Watu wengine ambao wana mashaka juu ya suala hili kuwa fanyeni utafiti wenu binafsi ili mpate kujiridhisha kuhusu usahihi wa hicho nilichoeleza. Naamini kwamba baada ya kufanya utafiti wa kina ambao hauko 'bias' mtaweza kubaini ukweli juu ya hiki nilichoeleza.

FYI: Hata baadhi ya Viongozi wakubwa ambao wapo ndani ya Serikali iliyopo madarakani hivi sasa huko nchini Msumbiji pia ni Wanachama wa kificho wa Chama Cha RENAMO kinachopingana na Serikali, pia ni Wafadhili wakubwa wa Mgogoro huo huku wakiiwasaidia kwa siri Sana hao wapiganaji wa RENAMO wanaosumbua huko Msumbiji. Ndio maana unaona kwamba kuna ugumu sana kwa Serikali ya Msumbiji kuweza kulidhibiti na kulitokomeza hilo kundi la Wapiganaji waliopo huko.
 
Kundi linavuka msumbiji linavuka nchi linakuja tanzania linauwa watu wanarudi msumbiji hafu unasema si ugaidi!!
Nchi ya Msumbiji imepakana na nchi zingine nyingi kama vile nchi ya Afrika ya Kusini, Swaziland (Eswatini), Zimbabwe, Zambia, Malawi na Tz.
Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa Nini Wapiganaji wa huko Msumbiji wanaoipinga Serikali wamekuwa wakivuka mipaka wa nchi hiyo na kuingia nchini Tanzania, wanafanya mashambulizi ya kijeshi na kisha wanarejea nchini kwao Msumbiji huku wakiziacha hizo nchi zingine zote walizopakana nazo?????
Je, Unajua ni kwa nini Wapiganaji hao wamekuwa wakiilenga zaidi nchi ya Tanzania tu peke yake ktk mashambulizi yao huku wakiziacha hizo nchi zingine zote ambazo zinapakana na Msumbiji??? Unajua ni kwa nini wanafanya hivyo??Unazijua sababu????

Nakukumbusha kwamba "No research no right to speak."
By Mao Zedong.
 
Hiyo vita dhidi ya waislamu magaidi msumbiji ni rahisi sana.
Ni kukamata viongozi wote wa kiislamu wakubwa Msumbiji na kuwaweka ndani maana hawa ndiyo wafadhili wakubwa wa ugaidi Msumbiji
 
Unataka kusema RENAMO ndio imeform answar, hilo kundi la kiislam liisumbue msumbiji, kwa nini wajinasibu kuwa genge la kiislam wakati nchi hiyo si ya kidini?
Suala la dini au udini kwenye Mgogoro huo wa huko Msumbiji linatumika tu na wahusika kama 'SCAPEGOAT' ili waweze kupata msaada wa kijeshi au msaada wa silaha za kuweza Kupigania Vita dhidi ya maadui zao.
Nothing more nothing less.
 
Tz bora iyarudishe majeshi yake yaliyoko operesheni sehemu mbalimbali Afrika kama hakuna matokeo mazuri
SANDF ilikuwa bora na imara enzi za watawala wenye pua ndefu. Tangu pua fupi na nywele za kipilipili kuchukua hatamu kila kitu imekuwa utopolo.

Wacha watoke tu huko maana hawana jipya wala la maana huko Msumbiji na DRC.

SANDF wamepoteza ubora, limekuwa jeshi legelege sana. Ndio maana Nyusi ameamua kuwamilikisha nchi wanyawanda maana matokeo ya kazi yao yanaonekana
 
Hawa wapumbavu wa jwtz wanaogombea na na raia kwenye bar huko mitaani kila siku si wapelekwe huko Msumbiji ?
Au jwtz/ jeshi la wapumbav Tanzania ni jeshi la kufuga vitambi na makalio kuja kugombania pombe na malaya mitaani ?
 
Hayo makundi yote ya kigaidi yanayopewa majina ya Kiislam ni makundi hanayoundwa na nchi za magharibi kiustadi wa ujasusi na wanatumia tamaa za wajinga wenye njaa ili waendelee kuchota mali za Afrika.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Tz bora iyarudishe majeshi yake yaliyoko operesheni sehemu mbalimbali Afrika kama hakuna matokeo mazuri
Wana mgambo wapo kaskazini mwa Msumbiji ambako ni karibu na tz, ina maana tz ikizubaa kwa sekunde kadhaa hao wana jihad feki watataka kujipenyeza ndani ya nchi yetu, kama walivyo jaribu kufanya hivyo kwa kutaka kuweka kambi Kibiti kwa mujibu wa mtoa mada.
Ni hatari let's pray for our army
 
Hayo makundi yote ya kigaidi yanayopewa majina ya Kiislam ni makundi hanayoundwa na nchi za magharibi kiustadi wa ujasusi nabwanatumitamaa za watu wenye njaa ili waendelee kuchota mali za Afrika.

Wajinga ndiyo waliwao.
Je, Somalia Kuna Mali gani ambayo nchi za Magharibi zinaweza kuchota??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…