Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Sio Mwanjelwa Chief, Ni Kwa Mama John pale.Aliyeandika ujumbe huu kuwa Trump hafai kuwa rais wa USA ni mwananchi wa Mwanjelwa - Mbeya 😂
Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni wehu na wamarekani wasikibali ujinga huu.
😂😂😂😂Aliyeandika ujumbe huu kuwa Trump hafai kuwa rais wa USA ni mwananchi wa Mwanjelwa - Mbeya 😂
Mwacheni apige spana, ni awamu yake nchi yake.
Haswaaaa.Hakuna cha bure tena..
Sasa si mmekuwa mkiwasimanga kwa kila aina ya majina/ kejeli, oh mashoga mara mabeberu na kusema nyie marafiki zenu ni wa China na Urus si waambieni marafiki zenu wawasaidie? Matusi muwape lakini hela zao mzitake, acheni hizo mambo sawa?Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni wehu na wamarekani wasikibali ujinga huu.