Trump ana haki ya kufanya hivyo, mnatakiwa mjitegemee nyinyi wenyewe, Wala msiendelee kuitegemea Marekani.
Marekani Wana Sera ya Uzazi wa Mpango, hii ni katika kubana Matumizi wa Fedha katika Bajeti zao, Wafrika wengi zaidi wanaotegemea Misaada kutoka Marekani hawataki kufuata Sera ya Uzazi wa Mpango huku maisha yao yote kabisa yanategemea Misaada. Wewe unaona jambo hili linakuingia akilini kweli???
Acha Trump akate Misaada yote kabisa ili Wafrika (Watu weusi) wapate akili nzuri ya kuweza kujitambua na kuanza kuitegemea wao wenyewe.