Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 289
- 503
Leo ule mchakato wa uingereza kujitoa umoja wa ulaya unakamilika rasmi na hivyo rasmi uingereza haitokuwa mwanachama wa ulaya ifikapo saa nane usiku kwa saa afrika ya mashariki.
BBC inaripoti kuwa wananchi wanasherekea na kukusanyika kwenye jengo la bunge la uingereza wakifurahia kuwa huru kutoka umoja huo.
www.bbc.com
Umoja wa ulaya ulitengeneza unafuu na masharti nafuu kwa raia wanaoishi jumuiya hiyo kupata vibarua kwa urahisi nchini uingereza.
Hivyo raia wa nchi nyingine ilikuwa na ugumu.
Raia kutoka ulaya mashariki walikuwa wanafanya kazi zetu zile za kubeba box ambazo waafrika wengi ndio huwa wanafanya, Sasa huu mchakato hauwezi ukafungua njia kwa wabeba box wapya au ndio masharti yatakuwa magumu zaidi.
Pongezi ziende kwa Boris Johnson kwa kuufanikisha huu mchakato maana uliwaondoa cameroon na teresa may

Brexit: UK to quit EU at 23:00 GMT, as PM promises 'new dawn'
After 47 years as a member of the European project, the UK will leave the EU at 23:00 GMT.