luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Waliwahi kuniibia dola 2000 nikiwa kwenye treni jijini Cologne ujerumaniWao na wa Bulgaria vibaka hasa wa mifukoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliwahi kuniibia dola 2000 nikiwa kwenye treni jijini Cologne ujerumaniWao na wa Bulgaria vibaka hasa wa mifukoni
Wana njaa Kali nawaonaga ujerumani huku na kiingeeza Chao kibovuKuna wakati walifukuzwa Paris baada ya kujenga kambi ya nyumba za mabox na mabati hapo Paris , walifuatwa Usiku na polisi wakapakiwa kwenye mabus safari ya kuwarudisha Romania ikafanyika