Kujiondoa Kwa USAID , Mfumo wa Afya unaenda kua Very Expensive!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!.

Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza mchakato wa kujitegemea , mkawachukia wote wanaopinga habari za mikopo na misaada ya mashariti .

Sasa Mimi Binafsi ninamuomba Rais Donald Trump, akazie yaan hiyo miezi mitatu ya ukaguzi , apitie humohumo kusitisha misaada jumla.

Alafu Nyinyi Machawa, mnaomzunguka Rais Kwa Hila, kujipendekeza, ili kulinda matumbo yenu, mkapate kushuhudia Fukuto motomoto kutoka Kwa Wananchi .

Kwa Bahati nzuri sana Athari zake zimeshaanza kuonekana , na tunaelekea kwenye Uchaguzi !!.

Kuna MTU Mmoja aliwahi sema "Tunakopa huku, tunalipa huku, ili tukope Tena huku'.

Maono Hana, Akili imejaa mikopo tupu na misaada !! .

Muda Si mrefu, MTAKUSANYIKA CHATO, MBELE YA KABURI LA HAYATI MAGUFULI ,MUMUOMBE MSAMAHA.
 
Ni jukumu la serikali kujali na kulinda afya za watu wake. Naamini watalifanyia kazi mapema ili kulinda afya zetu. Huduma za kijamii ni jukumu la serikali.
 
Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!.

Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza mchakato wa kujitegemea , mkawachukia wote wanaopinga habari za mikopo na misaada ya mashariti .

Sasa Mimi Binafsi ninamuomba Rais Donald Trump, akazie yaan hiyo miezi mitatu ya ukaguzi , apitie humohumo kusitisha misaada jumla.

Alafu Nyinyi Machawa, mnaomzunguka Rais Kwa Hila, kujipendekeza, ili kulinda matumbo yenu, mkapate kushuhudia Fukuto motomoto kutoka Kwa Wananchi .

Kwa Bahati nzuri sana Athari zake zimeshaanza kuonekana , na tunaelekea kwenye Uchaguzi !!.

Kuna MTU Mmoja aliwahi sema "Tunakopa huku, tunalipa huku, ili tukope Tena huku'.

Maono Hana, Akili imejaa mikopo tupu na misaada !! .

Muda Si mrefu, MTAKUSANYIKA CHATO, MBELE YA KABURI LA HAYATI MAGUFULI ,MUMUOMBE MSAMAHA.
Hata nyumbani tunafanya ivyo like vikoba mbona Maisha yanaenda tu fresh ,huyo mtu alisisitizia
 
Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!.

Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza mchakato wa kujitegemea , mkawachukia wote wanaopinga habari za mikopo na misaada ya mashariti .

Sasa Mimi Binafsi ninamuomba Rais Donald Trump, akazie yaan hiyo miezi mitatu ya ukaguzi , apitie humohumo kusitisha misaada jumla.

Alafu Nyinyi Machawa, mnaomzunguka Rais Kwa Hila, kujipendekeza, ili kulinda matumbo yenu, mkapate kushuhudia Fukuto motomoto kutoka Kwa Wananchi .

Kwa Bahati nzuri sana Athari zake zimeshaanza kuonekana , na tunaelekea kwenye Uchaguzi !!.

Kuna MTU Mmoja aliwahi sema "Tunakopa huku, tunalipa huku, ili tukope Tena huku'.

Maono Hana, Akili imejaa mikopo tupu na misaada !! .

Muda Si mrefu, MTAKUSANYIKA CHATO, MBELE YA KABURI LA HAYATI MAGUFULI ,MUMUOMBE MSAMAHA.
Ili kuondokana na tatizo hilo bima ya afya kwa wote ni lazima lichukuliwe serious.
 
Back
Top Bottom