Kujiongeza

chetuntu

R I P
Joined
Jan 10, 2011
Posts
949
Reaction score
111
Tafadhalini wana jamvi nauliza kujiongeza ndio nini, naona vijana wengi wanatumia hilo neno.
 
Kama nitakuwa nipo sahihi, kujiongeza ni kufikiria zaidi hasa katika kufanya maamuzi fulani. Yaani kufikiria zaidi ya ukomo wako wa kawaida. Hata hivyo nipo tayari kukosolewa kama nimetafsiri ndivyo sivyo.
 
asante kwa ufafanuzi.
 
Mie nilifikiria vingine kuhusu kujiongeza. Nikadhani ni kujiongeza nani hii kwa kutumia dawa za mchina hahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa (Joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…