Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nitakuwa nipo sahihi, kujiongeza ni kufikiria zaidi hasa katika kufanya maamuzi fulani. Yaani kufikiria zaidi ya ukomo wako wa kawaida. Hata hivyo nipo tayari kukosolewa kama nimetafsiri ndivyo sivyo.
Ulikuwa mkarimu, na Muungwana.asante kwa ufafanuzi.