heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 920
- 526
Habari zenu wakuu, ninaomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo kwa mwenye ufahamu;
1) Je ukimpa mtu mali yoyote kwa kwa kumwamini bila ya maandishi yoyote kwakuwa unamwamini ni kosa?
2)Je kwakuwa makubaliano yalikuwa ni yeye kukulipa pesa kulingana na gharama ya hiyo mali na akakaidi kukulipa ni hatua gani zinapaswa kufuatwa ili mtu apate mali yake au pesa yake?
Naomba kuwasilisha wakuu kwa msaada maana naona naingizwa kwenye umaskini