Kujipendelea Muhimu

hiii hapa but nahisi waliiifunga sijui kwa nini

najaribu ku google siipati vizuri


but ushahidi huo

Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba! - Page

We hii link mbona imekaa kizushi?!Hiyo thread si alianzisha na Nazjaz baada ya kutongozwa humu jamvini?!It has absolutely nothing to do with Arusha trip.....acha kutisha watu wasikutane na watu wanaoweza kua marafiki wazuri kwa uzushi usioexist!Besides....ngono sio lazima watu wakutane wengi...ni kiasi tu cha makubaliano kati ya wawili!
 

hebu kuwa na utulivu unaposoma kitu
hiyo thread inahusu walipokutana na sio kutongozwa hapa

weather nipo sahihi au not,hakuna sehemu niliosema watu wasikutane

soma vizuri nimesema idea ni nzuri

nilichosema watu wengine wanayoyafanya thats it

na hii thread mimi niliisoma kabla ya kufungiwa inahusu

kukutana na sio hapa jamvini

ukibisha tumia google utapata vipande

sasa uzushi upo wapi hapo???????????/
 

Watu wengine bwana...sasa kwani kutongozwa ni dhambi!?Me akenue yeye alafu akishatobgozwa anakuja kulalamika JF?!

Nwy bado sijaona point ya “skendo za ngono“.Besides waliokutana ni watu wazima...hivyo unless kuna aliyebakwa sioni hata sababu ya haya mabishano!!

I‘m out!
 
Ngoja na mimi ni msuprise wangu. Simpeleki mbali hapo Girrafe. Nampa ofa ya dinner kumbe ninalipa two nights nasi tuspend week end far from kids. Wajua watoto wakiwa wadogo inakuwa ngumu kulala nje maana huwezi kumuamini house girl. Kwa kuwa Girrafe si mbali anything happens to kids tunakimbia home. Maana toka nipate kids nights out zimesitishwa.
 

Duh! pole sana MJ1!....nafikiria jinsi ulivyonuna na kufura kwa hasira!...Mhhhhh!

YouTube - ‪Check On It‬‏
 
Girrafe ni guest house siku hizi nenda bagamoyo mamii, nafuu hata white sand
 
Duh! pole sana MJ1!....nafikiria jinsi ulivyonuna na kufura kwa hasira!...Mhhhhh!

YouTube - ‪Check On It‬‏

Hahahahahahha.......sikusema kitu kwani kazi ya kuuliza na kusikiliza majibu alikuwa nayo matron mie ah...........nlikuwa natabasamu tu kwa kila maelezo yanayotolewa maana unaona kabisa unavyochezeshwa matope kama mtoto mdogo. Ninamshukuru MUNGU sina roho ya kununa baada ya tukio.
 
Reactions: BAK
BAK mbona unatamanisha hivyo..yaani hayo mapicha mhh 'just my imagination' ..!!
 
Reactions: BAK
BAK mbona unatamanisha hivyo..yaani hayo mapicha mhh 'just my imagination' ..!!

Hehehehehe umetamani eeh! Kazi kwako BJ! anza kuzikusanya ili ukajipongeze kwa maraha.
 
Reactions: Mbu
haka ka-thread kamenilazimisha kumpeleka mamsap wangu kwa king kikii leo jioni tukachanue kitambaa cheupe

aisee
 
Reactions: Mbu


Huku raha tupu! Mnakuwa kama vile mko peponi! 🙂....lazima unyong'onyee sana siku ya kurudi kwenu hahahaha lol!

Duhh....mkubwa, wapi hapo?
Anyway,...mwisho wa vacation pwani ya Afrika mashariki...


...ndio mwanzo wa kujipanga kujipendelea Bilila Kempinski - ndani ya Serengeti!

 
Reactions: BAK
Labda utoe sababu nyingine huko bagamoyo si ndio wezi wanapapenda zaidi kwa kuwa ni mbali si rahisi kufumaniwa? Hata hivyo thanks kwa ushauri but my kids are young and have only a housegirl home kwa hiyo kwenda mbali na kuwahacha kwa sasa roho inakuwa nzito ila Giraffe nimetolea mfano kwa kuwa ni karibu and have stayed there sijaona kama ni pabaya sana hao wanaopatumia kama guest kimpango wao kwani hata kempisk watu wanafanya ufuska. Hamna hotel iso na hayo mambo dear.

Girrafe ni guest house siku hizi nenda bagamoyo mamii, nafuu hata white sand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…