Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
- Thread starter
- #241
moja ya sababu dhb ilikufa ilikuwa ni hiyo
na kuhusu arusha
zilikuja thread hapa nyingi zenye kuashiria hayo
kuna thread moja mdada alilalamika kuwa wakaka wa jf walikuwa
kama wanawadhalilisha hivi,
walikuwa wanawatongoza na kuchukua namba za simu wazi wazi
akitoka huyu anakwenda kwa yule
yaani heshima haikuwepo
ukichanganya na pombe
pata picha
The Boss, member wa JF Arusha wanatusoma hapa.
Naona haya, naona vibaya...
Kama ni kweli hayo yametokea, na yalipata kuandikwa
naomba tukaifukue hiyo thread (topic)
Otherwise tutakuwa hatuwatendei haki kina kiongozi PJ,
na kundi lake.
Binafsi ningetamani Get Together ya JF members nasi tujipendelee.
Ila kwa maneno uliyoyaelezea mnh...ngoja kwanza...