Kujipendelea Muhimu

Chunga tamaa mbaya.......Epuka tamaa mbaya!

Huwezi kuongea unafosi kuimba?:majani7::majani7::majani7:

Sifa ya moyo TAMAA..........moyo sifa yake kutamaaani...........

Kwa kweli hata mimi nimetamani mwenzenu.

Nafikiri vijimambo hivyo si uchumi hauruhusu ila ni KUJIPANGA TU jamani.Natamaniiii,halafu hiyo bed ilivyodecoratiwa,just my taste,dah!
 
Mbu sasa unahamisha watu na post zako mwili kazini mawazo yanaenda likizo.

Lessons (previously learnt,) baadhi hazipaswi kusahaulika bali zichukuliwe as a learning curve.
Hiyo ndio Maturity. Duuhhh...I can't wait to make a difference in someone's life.

Mapenzi matamu nyie...Ohooo...
 
Reactions: Mbu
Hii ni nzuri mimi huwa naifanyia kazi ingawa sio kwa kiwango hicho, maana mtu hujikuna pale mkono wake unakofikia au mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.

Kosa ni pale mtu utapochukua mikono ya watu wengine au kurefusha kamba zako kwa kutumia kamba za wengine ili ufikie urefu huo; yaani kwa maana ya kutumia rasilimali zilizotengwa kwa maendeleo ya jamii kufanyia suprise father/mother house hii ni dhambi kubwa na hiyo out itakuwa na laana.
 
Mbu nakuunga mkono mia kwa mia. Wanozijuwa faida ya hizi retreat wanakuja kutoka dunia nzima, tatizo letu na kwa roho mbaya tu, sisi wenyewe hatuendi halafu wakija hao wageni tunawashambulia eti wanakula raha zetu za asili.
 
Reactions: Mbu

Duh Mbu!!.....kweli alokutwisha hilo penzi jipya nampongeza. Unajua ninasoma hadi nakujengea picha ile unavyotabasamu mwenyewe kila ukimkumbuka na unavyomu-hug kila mkikutana!! I just wish you all the happiness in your life.

Yeah umenena vema ni vema ya nyuma uyaache na kuanza upya.........kuwa your very own self especially kama past yako ilikufanya uchange ili kufiti kwenye matakwa ya Ex wako..........

But ntakuwa mpole kiasi................. sasa hivi niko kwenye training ya how to be that!
 
Oooh how I love retreats, jamani Mbu mimi ningekufilisi kwa hili🙂 lol

Wazo zuri kweli kamanda, aisee nitakutafuta for some tips..hivi na sisi si tunaweza kuwaandalia manjemba retreats?

Thanks for sharing, tena utalii wa nchini tu unatosha hapo kempiski serengeti long weekend mkirudi na akili mpya..maisha kufurahia, tumia hela ikuzoee!!..he he
 

mmh...this speaks volumes.....nikuone unipe ushauri wa kuuguza vidonda jamani?
 
Sifa ya moyo TAMAA..........moyo sifa yake kutamaaani...........

Kwa kweli hata mimi nimetamani mwenzenu.

Nafikiri vijimambo hivyo si uchumi hauruhusu ila ni KUJIPANGA TU jamani.Natamaniiii,halafu hiyo bed ilivyodecoratiwa,just my taste,dah!

Kabisa kabisa, tena mkumbuke...Sehemu hizi huna haja ya kujipa presha kwenda kipindi cha High season (kipindi kile cha watalii wengi kiasi kwamba Room Rates zinakuwa bei za juu mno!

Kuna Low seasons, ambazo mara nyingi viota hivi vinakuwa na Occupancy hata chini ya 25%. Hapo Mzawa utafaidi na Residents Rates, tena jamaa wata wa treat wewe na Mwenza wako kama VIPs.

Kipindi cha wazungu wengi si ajabu ukaonekana 'kishuka- msumbufu!'
Tunajijua 'Miafrika ndivyo tulivyo,'...kawaida yetu kunyanyapaana hata kama unatoa Tip ya nguvu!

Mbu sasa unahamisha watu na post zako mwili kazini mawazo yanaenda likizo.

...Oooppss, poleni sana wadau...mwenzenu leo hapa Boss anaumwa, hakuja kazini!
 
Asee Mbu on a serious note, what you have just reminded us is very important. Marriage life should also mean fun.....and on of the best places to have fun is in Serengeti National Park....have been to Kirawira way back in 2005 and I know the feeling of that pristine place!
 
Reactions: Mbu


mimi HAPA BJ, niandalie ntakuwa tour guide:mwaaah: wako
 
Mbu nakuunga mkono mia kwa mia. Wanozijuwa faida ya hizi retreat wanakuja kutoka dunia nzima, tatizo letu na kwa roho mbaya tu, sisi wenyewe hatuendi halafu wakija hao wageni tunawashambulia eti wanakula raha zetu za asili.

...Naam, naam FaizaFoxy....watu hawajiulizi Ndege zinakuja zimejaa watalii! ...miezi michache ijayo tiketi za ndege kuja Tanzania zitakuwa hazikamatiki kisa Utalii...

Halafu nasikia kuna waheshimiwa wanasema tutake tusitake Serengeti Highway itajengwa!....ile Annual Wildbeest Migration ikihamia Kenya mopja kwa moja itakuwa imekula kwetu kiuchumi!...

Hatujajifunza madhara na athari ya barabara kuu inayokatiza Hifadhi ya Mikumi kuelekea Dodoma. Anyway,...ya wanasiasa haya,
nawaachia wao. Mimi ni Mapenzi kwa kwenda mbele.


...Wow, hivi nawewe siku hizi Ushakamatika ee?
Umechelewa wapi muda wote huu mpaka sredi inakaribia ukingoni?

BJ, siku zote nakushauri mdogo wangu,...raha jipe mwenyewe.
Kujishika tama ukisikitikia the past, ujue unajizeesha. Ruksa sana tu (mdada) kutoa ofa kwa mkaka.
Yule aliyeuteka moyo wako hizi ndio Retreats ambazo ulipaswa kumpeleka ukamfunulie yaliyomo moyoni mwako!

Wahi kabla ya fares hazija top kufikia Euro 1000.00 na ushee,
Watalii wa kiitaliano soon wanaanza 'Migration' kuelekea fukwe za Zanzibar.

 

Kaizer umeona eeh??
Yaani acha tu ninatamanije?

.............Ila mheshimiwa Mbu amenichekesha eti baada ya arusi outings zinakuwa ni zile za kuhudhuria arusi na send offs......................huyu amedata si mzima hata kidogo. Yaani nimejiangalia mie na kujichambua ilikuwaje yaani haya ndo yalivyokuwa!!
 

Mkuu samtaims we need to be alone kupunguza stress
 
Go Mbu, your wish is your command boy.


Lucky is the woman who is Mbu's last love.
 

...there you Go, thanks for sharing bro. Big Up kwa kulitambua hilo.

mimi HAPA BJ, niandalie ntakuwa tour guide:mwaaah: wako

..aha ha ha,...BJ anasema, "tumia pesa ikuzoee!"...yani hapo ndipo anaponimaliza.
Maneno juu ya mstari.


LOL..Mwj1 hapa imenibidi nicheke tu...hata nikikupa pole itakuwa haitoshi. Kheee?!
Kwania aona haya kutoka nawe?


off-topic...hiyo picha kidogo nikupotee, eehhh....'.ume trim ghafla!'
 

..................Ah we ncheke tu kwa kweli nastahili kuchekwa na sometimes huwa najicheka mwenyewe ah.
Nadhani alikuwa aona haya mwenzangu wakati kabla ya kuwekwa ndani nlikuwa zaidi ya waleet maana nayo huwa inafichwa......ah nadhani nlikuwa kama taa za mbele za gari wakati wa giza.......... na si kwamba nilikuwa potable wala! Ah sijui bwana.

Shhhhhhhhhhhhhhhhh hiyo avatar sema taratibu sijaomba ruhsa toka kwa BAK lol
 
Mkuu samtaims we need to be alone kupunguza stress

...mkuu,...kuna kitu kitakuwa kina miss hapo.
Alone kwa masaa machache inakubalika.

Alone usiku mzima? ...na siku inayofuatia au hata wiki?
Hapana bana.

Najua umuhimu wake, lakini Maturity inatufunza ku adapt upesi na mabadiliko.
Lazima uwe flexible kwenye maisha ya ndoa. Kung'ang'ana kwenye Cave...(Men are from Mars,...)
ni kupoteza reality ya maisha unayoishi.

Anyway,...maisha ni uchaguzi...binafsi sitopendelea nikalale nje kisa nahitaji Space... (peace of Mind!)
The furthest nitampisha alale M'bedroom nikalale sebuleni, tena baada ya kumhakikishia nitamrudia baada ya kutafakari yanayonikwaza. Yote ni katika kuepuka kuulizwa "hivi wewe leo una nini?!"

Go Mbu, your wish is your command boy.

Lucky is the woman who is Mbu's last love.

...Wow, am humbled! Nami namuomba Mw'Mungu anizidishie nguvu ya
'kuyazidisha' mpaka kieleweke...LOL!
 


Lol we Mbu asa mbona unatuchanganya........ina maana hakijaeleweka bado au una maanisha nini??
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…