kaka Mbu...maisha yanasonga ishu ni imani nae kama ara ya kwanza ndio cna, mitoko na mambo mengine ya kifamilia ni kama kawaida kabisa kabisa 22 may ilikuwa bday yake, nilimuandalia surprise tamu kabisa alifurahi/enjoy maisha yanaendelea kaka...ishu ni kusahau lile tukio moja kwa moja.
........hahahaaaaaaaaaaaa, MANDHARI!!!
MASHALLAAH
kaka Mbu...maisha yanasonga ishu ni imani nae kama ara ya kwanza ndio cna, mitoko na mambo mengine ya kifamilia ni kama kawaida kabisa kabisa 22 may ilikuwa bday yake, nilimuandalia surprise tamu kabisa alifurahi/enjoy maisha yanaendelea kaka...ishu ni kusahau lile tukio moja kwa moja.
Marufuku ila maumivu yakizidi unamuona daktari au vipi ahahahahhaaaaa.Eh Shantel hebu funguka mpenzi.............si twaambiwa marufuku kwa wife kuwa na nyumba ndogo? au marufuku hii ni ile ya .....ruhsa kwa siri..........!!
..........mh........... ndo vikoje??
...mwj1 majibu sina mie lol! ...miranda law inasema "...right to remain silent as anything you say may and can be used against you..."...natamani ku quote na disclaimer ya jf lakini acha kwanza...
Wikiendi hii i wish ningemtoa mupenzi out, bahati mbaya mshahara haujatoka..he he
Muwe na siku njema, nalijenga taifa huku kariakoo shimoni, network mgogoro.
ndo maana mie nakula maisha na zake, zangu najenga kisirisiri ili akifulia nimsaidie.manake najua holidays hizi nikidengua zinakuja kwako (naenda kikazi tandahimba,hakuna network so simu nehii!)
</p>
<p> </p>
kamanda, nimeona picha ya kwanza kali sanaKamanda we acha tu..........sehemu zote hizo alizotoa Mbu, mandhari zake we si umeziona?
hivyo vijiua, ukijani wa ukoka na vijichemba hiv......ukitoka huko wife lazima awe anasmile kila dakika.
Hivi kuna asopenda vitu vizuri jamani??
.............hebu tukajipendelee ng'wana wane!!Mayo wane
.........Hahahaha BAK mwenzangu si watu humu naona wanantamanisha!! Mie pamoja na kujitahidi kutofuga gubu, sijawahiambiwa hata siku moja .Mamsap hebu leo tukajivinjari................ah. Ye kila siku ...nina safari za kikazi na cha ajabu safari zenyewe ni mwisho wa wiki, ukiuliza waambiwa katikati ya wiki kazi zinakuwa nyingi na hivyo ili zisilale ni policy ya ofc.tunasafiri weekend!! Na nkichunguza safari zooote hizo hakuna hata moja ya mkoa wa mbali! Ni chalinze, Pugu akizidi saaana Morogoro! Na huko ukipiga simu ni miziki na pombe ah.........
Nani asiyetaka raha duniani???
..................jamani nakumbushia tu ombi langu.................Aksanteni.
............ghahahhahahhah mwali kwa sasa nimejifunza bana .............ni matatizo tu ya kuzidiwa ujanja hahahahha.huyu mwanaume hatakaa apate mke kama wewe maisha yake, yaani pugu hapo ushindwe kumfatilia? yeye mbele wewe na tax nyuma mpaka kieleweke, huyu atakukumbuka sana sna.
...mwj1 majibu sina mie lol! ...miranda law inasema "...right to remain silent as anything you say may and can be used against you..."...natamani ku quote na disclaimer ya jf lakini acha kwanza...
Wikiendi hii i wish ningemtoa mupenzi out, bahati mbaya mshahara haujatoka..he he
Muwe na siku njema, nalijenga taifa huku kariakoo shimoni, network mgogoro.
Ushaingia dada mnoko? Ngoja nisepe...........
Hujambo lakini?
............ghahahhahahhah mwali kwa sasa nimejifunza bana .............ni matatizo tu ya kuzidiwa ujanja hahahahha.