Kujipendelea Muhimu

Kujipendelea Muhimu

kaka Mbu...maisha yanasonga ishu ni imani nae kama ara ya kwanza ndio cna, mitoko na mambo mengine ya kifamilia ni kama kawaida kabisa kabisa 22 may ilikuwa bday yake, nilimuandalia surprise tamu kabisa alifurahi/enjoy maisha yanaendelea kaka...ishu ni kusahau lile tukio moja kwa moja.
 
Ushaingia dada mnoko? Ngoja nisepe...........

Hujambo lakini?
 
........hahahaaaaaaaaaaaa, MANDHARI!!!

MASHALLAAH

Kamanda we acha tu..........sehemu zote hizo alizotoa Mbu, mandhari zake we si umeziona?
hivyo vijiua, ukijani wa ukoka na vijichemba hiv......ukitoka huko wife lazima awe anasmile kila dakika.

Hivi kuna asopenda vitu vizuri jamani??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...mwj1 majibu sina mie lol! ...miranda law inasema "...right to remain silent as anything you say may, and can be used against you..."...natamani ku quote na disclaimer ya jf lakini acha kwanza...
Wikiendi hii i wish ningemtoa mupenzi out, bahati mbaya mshahara haujatoka..he he

Muwe na siku njema, nalijenga taifa huku kariakoo shimoni, network mgogoro.
 
kaka Mbu...maisha yanasonga ishu ni imani nae kama ara ya kwanza ndio cna, mitoko na mambo mengine ya kifamilia ni kama kawaida kabisa kabisa 22 may ilikuwa bday yake, nilimuandalia surprise tamu kabisa alifurahi/enjoy maisha yanaendelea kaka...ishu ni kusahau lile tukio moja kwa moja.

......... nyamayao hebu achia moyo bana, unakuwa too sensitive unatakiwa kwa kuwa ulishasamehe, samehe, rudi katika hali ya mwanzo. Kumbuka kuwa ni hulka ya wanaume( wengi wao), at one point ya maisha yake lazima atacheat, na yeye kama mwanaume si exceptional bana.......na hata hiyo unayosema eti kujiamini na kukaa naye sehemu wazi ichukulie kama ajali tu otherwise ni mambo ya kawaida.

Babu Asprin nirudishie pass word yangu
 
.Eh Shantel hebu funguka mpenzi.............si twaambiwa marufuku kwa wife kuwa na nyumba ndogo? au marufuku hii ni ile ya .....ruhsa kwa siri..........!!

..........mh........... ndo vikoje??
Marufuku ila maumivu yakizidi unamuona daktari au vipi ahahahahhaaaaa
 
...mwj1 majibu sina mie lol! ...miranda law inasema "...right to remain silent as anything you say may and can be used against you..."...natamani ku quote na disclaimer ya jf lakini acha kwanza...
Wikiendi hii i wish ningemtoa mupenzi out, bahati mbaya mshahara haujatoka..he he

Muwe na siku njema, nalijenga taifa huku kariakoo shimoni, network mgogoro.

Haya kaka umesomeka..........naona swali la wife au mlezi umelipotezea kwa style ya kachero.

pole bana but si hata chumbani pia pafaa Mbu....weka bia/soda yako kwenye barafu, play slow music maisha yanasonga

Au akiwa bafuni ndani ya povu jingi we mletee kikombe cha chai kama wine hakuna...........
 
ndo maana mie nakula maisha na zake, zangu najenga kisirisiri ili akifulia nimsaidie.manake najua holidays hizi nikidengua zinakuja kwako (naenda kikazi tandahimba,hakuna network so simu nehii!)

</p>
<p>&nbsp;</p>

hahahaha, kumbe tupo wengi eeehh, kwa sana tu darling, umenikumbusha juzi juzi alikuwa kampala kwenye mkutano hawakosi sababu hawa watu, cm hazikupatikana kama 1 hr hivi nakuja kuambiwa ziliisha charge....hahaha cm 3 zote ziishe charge kwa wakati mmoja? ndio mambo ya tandahimba hakuna net....hahahaha
 
Basi mnaweza enda hayo masehamu mazurimazuri kila mtu ana lake akilini mwake, full kuchati visimu viko bizeeeee, mapenzi ya siku hizi bwana, yanakera sana, basi kumuumiza roho na wewe unatafuta mtu hata kama msichana mwenzako anaependa kuchati ili muanze kuchati umtie wivu lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kamanda we acha tu..........sehemu zote hizo alizotoa Mbu, mandhari zake we si umeziona?
hivyo vijiua, ukijani wa ukoka na vijichemba hiv......ukitoka huko wife lazima awe anasmile kila dakika.

Hivi kuna asopenda vitu vizuri jamani??
kamanda, nimeona picha ya kwanza kali sana

lakini hii ya pili kale kachumba kadogo sana aisee, yaani kama gesti za mwanza!!, ukigeuka tu ushagusa ukuta, na ile TV stand zinajeruhi sana vichwa kwa ncha kali

hahahaaaaaaaaa
 
Mpwa, hivi vitu vipo kwenye bajeti ya MKULO kweli? au auntaka niwe fisadi??? Utanivunjia ndoa Mpwa?? hebu i-delete fasta asije ona nikaanza kudaiwa.........
 
.........Hahahaha BAK mwenzangu si watu humu naona wanantamanisha!! Mie pamoja na kujitahidi kutofuga gubu, sijawahiambiwa hata siku moja .Mamsap hebu leo tukajivinjari................ah. Ye kila siku ...nina safari za kikazi na cha ajabu safari zenyewe ni mwisho wa wiki, ukiuliza waambiwa katikati ya wiki kazi zinakuwa nyingi na hivyo ili zisilale ni policy ya ofc.tunasafiri weekend!! Na nkichunguza safari zooote hizo hakuna hata moja ya mkoa wa mbali! Ni chalinze, Pugu akizidi saaana Morogoro! Na huko ukipiga simu ni miziki na pombe ah.........

Nani asiyetaka raha duniani???

..................jamani nakumbushia tu ombi langu.................Aksanteni.

huyu mwanaume hatakaa apate mke kama wewe maisha yake, yaani pugu hapo ushindwe kumfatilia? yeye mbele wewe na tax nyuma mpaka kieleweke, huyu atakukumbuka sana sna.
 
huyu mwanaume hatakaa apate mke kama wewe maisha yake, yaani pugu hapo ushindwe kumfatilia? yeye mbele wewe na tax nyuma mpaka kieleweke, huyu atakukumbuka sana sna.
............ghahahhahahhah mwali kwa sasa nimejifunza bana .............ni matatizo tu ya kuzidiwa ujanja hahahahha.
 
...mwj1 majibu sina mie lol! ...miranda law inasema "...right to remain silent as anything you say may and can be used against you..."...natamani ku quote na disclaimer ya jf lakini acha kwanza...
Wikiendi hii i wish ningemtoa mupenzi out, bahati mbaya mshahara haujatoka..he he
Muwe na siku njema, nalijenga taifa huku kariakoo shimoni, network mgogoro.

Mukubwa, hapo kwa bold omba 'advance salary'..acha visingizio, ha ha
Labla kama una lingine la kusingizia!!....mtoe mupenzi bwana!!
 
kaka wapi hii .........natamani kwenda ...n nyumba kubwa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...mtm ha ha..ati gesti za mwanza, ..kachumba kadogo ndio kazuri, mnabanana hakuna kukimbiana.

Mwj1 unataka nikushtakie kwa mod unanilazimisha kumtaja ee..lol

...chumba changu cha uswazi choo cha kushare. Raha hiyo ya kikombe cha chai maliwatoni nitaipata wapi, mlango wenyewe wa gunia.

...acheni tu nizichange hapa, leo kauzu toka kigoma tunarusha bei.."..working like a donkey to live like a king".. narudi kibaruani..
 
Back
Top Bottom