Kujipendelea Muhimu

tujilipueni tupange twende kama group kwani tukijuana nini bana, maana uwezo tunao company ndio hatuna, maana kam hawatupeleki si bora tujipeleke wenyewe?

.......Mbu naona itabidi tu ujibu baadhi ya hoja za msingi!!

Shantel mbona unataka kuleta vurumai mama!! Wengine both Mr&Mrs wako JF na hawajuani sasa ndo twende wote kule afu Asprin ambaye ndo Babu yangu ajue mie ni Mkewe wa ukweli, si atarudi kuangalia mabandiko yooote ya kwangu afu ole wangu kuwa kuna linalifanana na valangati la nyumbani............yataanza yale ya siri za ndani umezitoa nje!!
 
Usije tu ukanikimbia ukiniona....
 


Basi nisamehe...........Ban la sasa hivi litankosesha kujipendelea bure....

Hiyo ya uswazi ......si kisingizio bana ......zipo njia nyingi za kufanya ukiamua
 
Hili nalo neno mwenzangu
 
Usije tu ukanikimbia ukiniona....
Hahahaha au ndo TF unakuja na mpango wa kando watudanganya ndo mkeo afu wifey naye anakuja na mpango wa nje (eh wote si ni members?-hamjuani?) mnatunga safari za uwongo then Baaam............JF Jipendelee Gathering Club!!
 
 
 
kweli swahiba

sasa kutakua na tofauti gani na home, maana vyumba vyetu ndio hivyo ukiachia ushuzi inabidi mkae nje masaa kenda jinsi vilivyo vidogo... choo ndo hivyo tena hakuna cha baba wala mama, ukitoka tu unaona mitoto inakodoleana macho na kucheka... tena choo na bafu united mkuu, dodoki moja, jiwe moja nk

nikijipendela huwa nahakikisha cha kwanza ni size ya chumba, ukubwa wa choo/bafu na visibility, maana kwetu ni vibanda vya mangi na mabati yenye kutu

YOU HAVE MADE MY DAY DUH!!
 
tujilipueni tupange twende kama group kwani tukijuana nini bana, maana uwezo tunao company ndio hatuna, maana kam hawatupeleki si bora tujipeleke wenyewe?

.............AISEE!!:majani7::majani7:
 

...........Duh so inabidi tufanye SWOT au SWOC analysis sio ili tupate ladha tofauti na majumbani kweut loh
 
...........Duh so inabidi tufanye SWOT au SWOC analysis sio ili tupate ladha tofauti na majumbani kweut loh
VERY IMPORTANT MAZEE,

ndio maana kujipendelea tunafanya mara chache kwa mwaka.....

dah, leo imekaa kimtindo sana, namuonea huruma mkoloni mwema!!
 
Aisee nyie watu hapo juu, mkimaliza mniambie.

Nataka niwaanzishieni sredi nyingine.

Leo zamu yangu haki ya nani tena.
 
...halafu mtm unajua?...thamani na hadhi ya mtu inategemea na unapojitutumua kumpeleka.
Kumpeleka mamsap guest house wakati mlipotongozana ilikuwa highlife, ni kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa. Hata mungu hapendi..

...1st date ni 3*** star place na kupanda juu...tumia pesa ikuzoee ndivo asemavyo BJ. Mtaodhani na kibri poleni, my soulmate ni 5***** star quality!

...dah, leo mauzo hayajanikalia sawa.
Mamsap atanielewa kweli?

Jipangeni jamani, maisha yenyewe haya haya..mnajidai kungojea paradise ilhali ibada zenyewe za kuongezea salio (pay as you go)...
 
..........Save water drink beer!!!

Now you are talking...........

Uzuri wa bia hakuna kujipendelea..............ni kupiga raundi mtindo mmoja mkikolea mnahamishana meza na ngumi jiwe!
 

You can say that a million times!!! Yani kuna sura mnakua mmezizoea kuziona sasa zikibadilika tu kasheshe.... :whistle::whistle:
 
Yeah, we all want to do this for our wives/husbands, to re-kindle our love
But, truly, an innocent Tanzanian salary man/woman can afford this luxury?
I doubt, may be, after saving for a life time!!
Cheers!

Pengine tatizo kwa mtu mwenye hiyo "innocent salary" ni kukosa usafiri wa uhakika, lakini matumizi ya chakula ni kile kile ambacho mlikuwa mtayarishe nyumbani, tafauti mahali na mazingira tu. Na hata kama hamna usafiri wenu, inawezekana kutumia usafiri wa umma kuelekea pengine pasipokuwa "ndani ya kuta nne tulizozowea kila siku.
Hebu jaribu Jumamosi/Jumapili moja, mnaweza kutayarisha mlo wenu mapema na kuuweka katika "hot pots", mkabeba mikeka na kuchukua daladala au basi na kuelekea somewhere. Kama mna watoto watafurahi ajabu na nyinyi watu wazima mtakuwa mmetoroka siku moja toka jela yenu ya "monotone life".
Inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…