MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
tujilipueni tupange twende kama group kwani tukijuana nini bana, maana uwezo tunao company ndio hatuna, maana kam hawatupeleki si bora tujipeleke wenyewe?
.......Mbu naona itabidi tu ujibu baadhi ya hoja za msingi!!
Shantel mbona unataka kuleta vurumai mama!! Wengine both Mr&Mrs wako JF na hawajuani sasa ndo twende wote kule afu Asprin ambaye ndo Babu yangu ajue mie ni Mkewe wa ukweli, si atarudi kuangalia mabandiko yooote ya kwangu afu ole wangu kuwa kuna linalifanana na valangati la nyumbani............yataanza yale ya siri za ndani umezitoa nje!!