Kujipima afya kwa kuangalia mfumo wa upatikanaji wa haja kubwa na haja Ndo kwa binadamu

Kujipima afya kwa kuangalia mfumo wa upatikanaji wa haja kubwa na haja Ndo kwa binadamu

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Ndugu JF Dokta,

Naomba kuelimishwa juu ya hili kitu kwa sisi tuishio vijijini ambapo kupata huduma ya kupima ua kufanya medical check-up kila baada ya mwizi inakuwa ngumu.
Je tunaweza kupima afya ya mwili kutoka na frequency ya haja kubwa au haja ndogo anayoipata binadamu kila siku?
kwa mtu mwenye afya salama anatakiwa apate haja kubwa mara ngapi kwa siku...?
Samahani kwa watakao kwazika tunaelimishana
 
Back
Top Bottom