Kujirecord unakimbia/ unatembea kwa haraka kumeanzia wapi?

Kujirecord unakimbia/ unatembea kwa haraka kumeanzia wapi?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Jana katika page ya Garson Msigwa alijirecodi anakimbia, sikutilia maana nikajua ni swaga tu kaamua.

Jana hiyo hiyo kwenye mitandao ya jamii nimeona clips nyingi za watu wanafanya the same ila sijajua whats the motive behind?

Hebu wakuu nijuzeni maana sisi wazee haya mambo hatuyajui
 
Kuna moja niliionaga zamani kidogo jamaa ananena kwa lugha huku anajirekodi kwa selfie si akamuona jini kavaa nguo nyeupe alitoka nduki balaa halafu jini anamkimbiza 🙂🙂🙂
 
Jana katika page ya Garson Msigwa alijirecodi anakimbia, sikutilia maana nikajua ni swaga tu kaamua.

Jana hiyo hiyo kwenye mitandao ya jamii nimeona clips nyingi za watu wanafanya the same ila sijajua whats the motive behind?

hebu wakuu nijuzeni maana sisi wazee haya mambo hatuyajui
Kuna kukimbia kusiko haraka?
 
Kuna wanaojikuta wapo bize na mambo ya msingi watakwambia huo ni upumbafu tu

Hatuwezi kuwa bize muda wote, muda mwingine pata muda wa kucheka kulegeza mishipa ya fahamu. Unajifanya uko sirias muda wote, hela yenyewe hunaa!

vita ya maji maji irudiwe
 
Back
Top Bottom