Kujirekodi na kusambaza video za utupu ni kosa kisheria?

Kujirekodi na kusambaza video za utupu ni kosa kisheria?

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
349
Reaction score
678
Habari!

Sijui sheria zetu zimekaaje ila naomba niseme hili.

Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini kumeibuka wimbi kubwa la video zenye maudhui yasiyofaa zikisambaa mitandaoni huku vijana wa hovyo wakifurahia pindi waonapo video hizo ambazo wao huziita 'Connection', bullshit!

Kimsingi video hizi ni sumu inayoangamiza watoto na vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa letu tukufu. Kijana wa kitanzania akisikia kuna video ya ngono imevuja yuko tayari kutoa hata pesa ili apewe japo clip moja (connection), horseshit!

Je, hapa nchini hakuna sheria zinazokataza video zenye maudhui haya?

Kama sheria zipo je, sheria zinapendekeza adhabu kali kwa wahusika(wasambazaji) wa video hizo? Imefika mahali watu wakitaka umaarufu wa ghafla wanajirekodi kisha wanaachia video kwa makusudi, Apeshit!

Kinachonishangaza zaidi tangu tabia hii imeanza sijawahi kusikia kuna mtu amehukumiwa kwa kujirekodi na kusambaza viideo za ngono. Wahusika wanaendelea na maisha yao huku vijana wakizidi kuharibika kwa kujichua na hata kubaka, Batshit!

Mimi kama kijana mtanzania ninayejielewa na kujiheshimu, hivi vitendo sipendezwi navyo.
 
20240121_100129.jpg
 
Taifa limekuwa kingonongono
Kila kitu ngonongono kunyanduana tu

Ova
 
Back
Top Bottom