Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

Joined
Aug 18, 2016
Posts
13
Reaction score
5
Habari wapendwa,

Hivi kujisajili taesa inakuaje au sasa hv mfumo haufanyi kazi? Maana toka juzi nahangaika kujisajili haifiki popote ina search kwa muda mrefu inaandika tu contacting website again nakuendelea ku load tena na tena mwishowe inaandika Google couldn't reach the internet. Sasa sielewi shida Iko wapi na bundle lipo msaada wenu wadau.
 
Unatumia browser gani?
 
Back
Top Bottom