kujishika shika sehemu za siri

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Nimeshakutana na watu mara nyingi mno ambao bila ufahamu wao hupenda kujishika sehemu zao za siri ,wanawake kwa wanaume ,sasa hk kwenye mishemishe zangu kuna staff mgeni mwanamke ana hili tatizo na ameniamini mimi kuomba msaada ,nalileta kwenu tumsaidie tiba tafadhali
 


Weka picha
ili tuone bila kuambiwa.
 
Mkuu eleza vizuri,anashika sehemu hizo huwa zinamuwasha au ni hulka yake kufanya hivo hadi akazoea....
 
Tatizo hi minyeg yenu hua haiishi tafuta siku mtu akushughulikie sawa sawa kama sio ivo basi una chawa za ukeni
 
kama yumo humu itakuaje? Na akijua umetoboa siri yake je?
 
Tatizo hi minyeg yenu hua haiishi tafuta siku mtu akushughulikie sawa sawa kama sio ivo basi una chawa za ukeni

even a fool has a story to tell...!
 
huwa aningi.za mkono ndani au....!?
 
Hii ni sehemu mojawapo ya masterbation!

Sio lazima mwende bafuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…