Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nimeshakutana na watu mara nyingi mno ambao bila ufahamu wao hupenda kujishika sehemu zao za siri ,wanawake kwa wanaume ,sasa hk kwenye mishemishe zangu kuna staff mgeni mwanamke ana hili tatizo na ameniamini mimi kuomba msaada ,nalileta kwenu tumsaidie tiba tafadhali