klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Hii kujishusha inayozungumziwa hapa umeielewa lakini? sio ile kujishusha ya "over 18 self service" bana ni kujishusha ya kuomba msamaha. haya fafanua zaidi tukuelewe sasaMimi ni mzito wa kujishusha hasa kama sijafanya kosa!
mimi ninachopinga ni kuwa the price ya kuifanya ndoa idumu isiwe kubwaa saana
mpaka raha isiwepo.....
Una akili kama babu yangu....ndoa sio mapambano...watu wanapambana mpaka kukosa usingizi eti ili tu ndo iwepo!!!
wakati mwingine ukiwa mtu wa kujishusha mara zote utakuwa waonekana *****(kwa baadhi ya watu). so minadhani unajishusha lkn ukiona mtu mwenywew haelekei nawe unakomaa tu.
I love to apologise (kama hii ndio kujishusha aliokusudia mleta mada), Actually it is the best romance if you do it right.
Chuma hufua chuma sipendi mtu anayejishusha na kuninyenyekea as if I'm a feudal lord au slave master.
Kila mmoja lazima awe na sauti kueleza, kujadili, kuepress msimamo na hisia zake. Hiyo management of luv relation kwaaliyekosa na kukosewa.
Mie kama nimekosea napenda tuongee na huwa niko open kukubali kosa langu lakini pia huwa napenda kusema kitu gani kilinifikisha kufanya kosa hilo hili mwenzangu haweze kujua na kujirekebisha kama alichangia mimi kufanya kosa hilo.Na nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kujaribu kurudisha hali ya kawaida ndani ya nyumba.
Sipendi mambo ya kukumbushiana makosa au mambo ya mtu kusamehe huku bado body language yake haioneshi kama kasamehe.
usiogope hapo ni kuicheza ngoma kulingana na mapigo ya mdundo kupanda na kushuka hali tu ukishindwa fall @the mid point.
Hii kujishusha inayozungumziwa hapa umeielewa lakini? sio ile kujishusha ya "over 18 self service" bana ni kujishusha ya kuomba msamaha. haya fafanua zaidi tukuelewe sasa
Chuma hufua chuma sipendi mtu anayejishusha na kuninyenyekea as if I'm a feudal lord au slave master.
Kila mmoja lazima awe na sauti kueleza, kujadili, kuepress msimamo na hisia zake. Hiyo management of luv relation kwaaliyekosa na kukosewa.
kwa ninavyojua mimi wanaume wengi ni wagumu katika kujishusha na kama akijishusha kwa hilo ni lazima na yeye akutafutie sababu.
[/QUOTE]Kloro mwana, ku-apologise ukiwa umekosea kuna maana sana mana unajua ulilokifanya..sasa kama amekutendea vibaya mwandani wako, je utaomba msamaha? au utajishusha halafu baadae mazingira yakiwa safi unashusha neno kwa bibie ajirekebishe ulikosea A na B...
How do you do it right?
.
kujishusha ni tabia ya mtu,anybody can groom to it. tatizo linakuja kwenye definition ya 'kosa'. it is a relative term lakini kuna wanandoa wanafanya maisha kuwa magumu.kuna mwanaume anataka mkewe aombe ruhusa ya kusafiri kikazi, kuhudhuria issue za ndugu zake etc. ila kujishusha mahali popote pale ni muhimu, iwe kwa mwenza,kwa ndugu(wa pande zote), kazini na hata kwa majirani.
kuhusu mwenza kuwa hakubali kujishuha hata kama amekosea,naamini kwenye kumpa kila mtu nafasi ya kufikiria juu ya kilichotokea,they ussually come around na kugundua. just dont overdo it and dont stress over petty stuff,ladha ya maisha inapungua.
It depends kuna kipindi najishusha hata kama sio mwenye kosa ila makosa mengine lazima nipandishe ili next asirudie..alafu sipendi mambo ya kukumbushiana makosa ya zamani
Mimi ni mzito wa kujishusha hasa kama sijafanya kosa!
kwa kweli belinda mie sina formula inategemea na kosa, nikiona kosa ni kubwa sana nitakumbushia siku mbili tatu hata kama nimesamehe, ndio nilivyo ila sinaga mahasira na magubu ya kuweka vinyongo
sehemu hizi ndio za kuonyesha kwamba alivofany sio vizuri unasubiriaaaa kwenye chorus unaanza kulalama huku chozi linatoka kabisa , kama hivi, mpenzi mbona unanitesa hivi, babe wangu jamani why all this, hapo anakwambia yoote
King'ast Msamaha tafsiri yake ni kukiri kosa na kuacha kama unarudia kosa wewe hauko tayari na msamaha!Dawa yako ni nyingine
jamani mimi gf wangu ni mbish kupitiliza, na hata akikosea hawezi kujishusha au kusema sory hata cku, instead anakugeuzia kosa kwmba we ndio mkosaji, hapa 2lipo 2mefight nachukia sana anapokosea then anakugeuzia kosa. Hivi wanawake wote mko ivi? Je inakuaje kwny ndoa m2 anakaa na mtu 50yrs wanakaaje kama ndo mko ivi?
Bacha na wewe kujifanya hujui si anakuwa anakubembeleza, then unakuwa kama hutaki unataka mara kitu na box, hapo ndio nakuwa nimepata pa kulalamikia sasaKumbe eeeh...............................,
sasa hapo hata concetration kwenye tendo lenyewe si inakuwa haipo BB?
Kwakuwa wewe akili yote umeitegeshea kwenye korasi ili umwage verse zako lol......
AW nimekusoma mkuu na nimependa mtazamo wako wa kukabiliana na mushkeri za hapa na pale!..je ukikosewa unapenda uombwe msamaha? au unaweza kuendelea kujishusha ili kuleta hiyo amani? au unaonaje kama wote wawili kuwajibika tatizo linaposababishwa na mhusika?
Kwenye kukumbushia nadhani mie mbovu kabisa, huwa siwezi kusahau na siku ya siku napendaga kufukunyua..ina-cost si kidogo kwa kweli!!
Najaribu kupambana ili nikiwa kwenye mahusiano niishi maisha ya sasa siyo past kila siku.
Wote tunakosea na ni vizuri tukijifunza kusamehana na tujifunze kutambua makosa yetu hili tusirudie makosa yale yale mbeleni.
belinda naomba umueleweshe DC kujishusha kwa vipi.