Kujishusha!!.....

Kujishusha!!.....

wakati mwingine ukiwa mtu wa kujishusha mara zote utakuwa waonekana *****(kwa baadhi ya watu). so minadhani unajishusha lkn ukiona mtu mwenywew haelekei nawe unakomaa tu.
 
kujishusha ni tabia ya mtu,anybody can groom to it. tatizo linakuja kwenye definition ya 'kosa'. it is a relative term lakini kuna wanandoa wanafanya maisha kuwa magumu.kuna mwanaume anataka mkewe aombe ruhusa ya kusafiri kikazi, kuhudhuria issue za ndugu zake etc. ila kujishusha mahali popote pale ni muhimu, iwe kwa mwenza,kwa ndugu(wa pande zote), kazini na hata kwa majirani.
kuhusu mwenza kuwa hakubali kujishuha hata kama amekosea,naamini kwenye kumpa kila mtu nafasi ya kufikiria juu ya kilichotokea,they ussually come around na kugundua. just dont overdo it and dont stress over petty stuff,ladha ya maisha inapungua.
 
A successful marriage requires a lot of give-and-take between husband and wife.

Very well said NN, ndoa nayo ni elimu tosha kufanikisha iwe yenye upendo na kudumu...Only problem is to balance the equation i.e. give-and-take!...

kweli mkuu hii inapata watu wengi sana..mda ukitaka maneno anaanza ohh unajua mimi hiki sikupenda sasa hiyo ni nini!!! ndio maana mtu unaamua kuiba sasa

Muelewe vyme mwandani wako, mbembeleze na siyo akiwa anasita wewe umeshanuna na kugeuza mgongo..muonyeshe unamuhitaji na kusisitiza yameisha hivyo mpate 'make-up sxe' ha ha..chombeza somoche!!

Ni sawa ila nadhani ni vema ukacheza ngoma kama inavyopigwa na sio ivumavyo maana ikivuma sana mwisho huwa mnaujua.
Hivyo mwenzio akipanda panda akishuka shuka namaana moja lazima uwe na ile hali ya woga kuwa ukipanda au ukijishusha sana kunathari yake haijalishi mwanamke au mwanaume.{ukijishusha sana kunakudharaulika au kujipandikiza utumwa b'se omba omba huzidisha unyonge na ukipanda sana kumbuka ujasiri ukizidi huwa ukatili lazima uogope ndo maana hata jasiri huingia vita kabeba sila cause hujua kuna kufa} Chamsingi ni busara ya usuluhishi kufuata mkondo wake, baba mama na mtoto huwa na majukumu sawa katika familia directly and indirect be contigence. It doesn't cost.

Sasa mkuu hiyo akipanda na mwingine apande, huoni kila mtu atakuwa ana hasira na mwenzie kuwa ni jeuri/kiburi nk..?!kubalance hii kitu ni ngumu sana, na kama unavyosema ukijishusha sana unaweza kuonekana zoba bure ilhali wewe unataka amani irejee na kuwa mfarakano uishe...lakini si bora kujishusha kuepusha shari kuliko wote mkawa darini?
 
I love to apologise (kama hii ndio kujishusha aliokusudia mleta mada), Actually it is the best romance if you do it right.
 
Very well said NN, ndoa nayo ni elimu tosha kufanikisha iwe yenye upendo na kudumu...Only problem is to balance the equation i.e. give-and-take!...

Muelewe vyme mwandani wako, mbembeleze na siyo akiwa anasita wewe umeshanuna na kugeuza mgongo..muonyeshe unamuhitaji na kusisitiza yameisha hivyo mpate 'make-up sxe' ha ha..chombeza somoche!!

Sasa mkuu hiyo akipanda na mwingine apande, huoni kila mtu atakuwa ana hasira na mwenzie kuwa ni jeuri/kiburi nk..?!kubalance hii kitu ni ngumu sana, na kama unavyosema ukijishusha sana unaweza kuonekana zoba bure ilhali wewe unataka amani irejee na kuwa mfarakano uishe...lakini si bora kujishusha kuepusha shari kuliko wote mkawa darini?

Chuma hufua chuma sipendi mtu anayejishusha na kuninyenyekea as if I'm a feudal lord au slave master.
Kila mmoja lazima awe na sauti kueleza, kujadili, kuepress msimamo na hisia zake. Hiyo management of luv relation kwaaliyekosa na kukosewa.
 
Mie kama nimekosea napenda tuongee na huwa niko open kukubali kosa langu lakini pia huwa napenda kusema kitu gani kilinifikisha kufanya kosa hilo hili mwenzangu haweze kujua na kujirekebisha kama alichangia mimi kufanya kosa hilo.Na nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kujaribu kurudisha hali ya kawaida ndani ya nyumba.

Sipendi mambo ya kukumbushiana makosa au mambo ya mtu kusamehe huku bado body language yake haioneshi kama kasamehe.

Wote tunakosea na ni vizuri tukijifunza kusamehana na tujifunze kutambua makosa yetu hili tusirudie makosa yale yale mbeleni.
 
It depends kuna kipindi najishusha hata kama sio mwenye kosa ila makosa mengine lazima nipandishe ili next asirudie..alafu sipendi mambo ya kukumbushiana makosa ya zamani
 
Sasa mkuu hiyo akipanda na mwingine apande, huoni kila mtu atakuwa ana hasira na mwenzie kuwa ni jeuri/kiburi nk..?!kubalance hii kitu ni ngumu sana, na kama unavyosema ukijishusha sana unaweza kuonekana zoba bure ilhali wewe unataka amani irejee na kuwa mfarakano uishe...lakini si bora kujishusha kuepusha shari kuliko wote mkawa darini?

unajua BJ kujishusha kwa maana na umuhimu wa hiyo,
context yenyewe, wala sio mbaya!kiukweli ni nzuri sana,
Tatizo linakuja pale ''on how to undertake/execute it''
Kiukweli naamini kabisa kwa walio wengi,moyo huwa upo tayari,
lakini mwili (kinywa)unashindwa kurespond/kutamka!
 
Mpenzi kama nilivyosema inategemea mtu na mtu pia.......mie nilishawahiona mtu anakosea yeye (tena makusudi) halafu anakuwa mkali anapandisha sijui yalikuwa maruhani yale na akimaliza hapo anaongezea na dozi ya mnuno...wiki hadi umbembeleze. Ukisema unakomaa eti kosa ni lako sijui nini .....ukitoka kazini jioni utakuta amefungasha virago kavipanga mlangoni, anatishia kuondoka. Unaamua tu yaishe na unayazika maana siku ukisema leo mukide ngoja nitoe dukuduku ndo unaliamsha upyaaaa.

Acheni tu

Kweli kabisa, utakayetunana nae kimapenzi/ndoa ndiyo kuelewa jinsi ya kupambana..mie pia nilikutana na mtu ambae alikuwa akiksarika anaongea wee basi nakaa kimya anasema jeuri mara sijui nina kiburi wakati mimi niliona njia mbadala kuliko kupandishiana..nilivyojishusha alikuwa anasema atafikiria wakati yeye ndie alikuwa mkosaji kabisa, yani acha tu!!..kuna experience zingine unatamani mtu usizipitie tena maishani..

BJ,

Kwenye hizi ndoa zetu, tena sie wa 1947, lazima kuna mmoja atalazimika kuwa kiazi (mjinga mjinga) ili mambo yaende. Na bahari mbaya (kwa uzoefu wangu), wanaume ndiyo huchukua hiyo nafasi. Na kwa wale wanaomudu kufanya hivyo ila wakabaki na akili, busara na hekima ya kuongoza familia zao basi ndoa zao hudumu ukilinganisha na wale ambao wanakuwa wajinga zaidi na kulala fofo au wanakuwa ngangari!

Mhhh...Ngoja kwanza nikatafute ugali.....Sukari inaniishia mu kichwa!

Mzee DC umeniacha hoi kiazi siyo eeh!..kabisa kuna muda mwingine inabidi ujitoe akili kuwa kiazi mana vinginevyo mnakomeshana na haisaidiik kitu mana mnabaki na hasira ambazo zinawapa mawazo ya ziada pia kuendeleza chuki badala ya kusameheana kujifunza kwa makosa ya awali..
Haya kula kwanza DC...ugali na daaga wa kigoma mimi ndiyo nimeshashindilia hapa!!
 
kwa kweli belinda mie sina formula inategemea na kosa, nikiona kosa ni kubwa sana nitakumbushia siku mbili tatu hata kama nimesamehe, ndio nilivyo ila sinaga mahasira na magubu ya kuweka vinyongo
 
Kweli kabisa, utakayetunana nae kimapenzi/ndoa ndiyo kuelewa jinsi ya kupambana..mie pia nilikutana na mtu ambae alikuwa akiksarika anaongea wee basi nakaa kimya anasema jeuri mara sijui nina kiburi wakati mimi niliona njia mbadala kuliko kupandishiana..nilivyojishusha alikuwa anasema atafikiria wakati yeye ndie alikuwa mkosaji kabisa, yani acha tu!!..kuna experience zingine unatamani mtu usizipitie tena maishani..

Mzee DC umeniacha hoi kiazi siyo eeh!..kabisa kuna muda mwingine inabidi ujitoe akili kuwa kiazi mana vinginevyo mnakomeshana na haisaidiik kitu mana mnabaki na hasira ambazo zinawapa mawazo ya ziada pia kuendeleza chuki badala ya kusameheana kujifunza kwa makosa ya awali..
Haya kula kwanza DC...ugali na daaga wa kigoma mimi ndiyo nimeshashindilia hapa!!

Mzee DC YOUR RIGHT!
 
Ha ha BlackBerry, you're one in a million!!..nadhani linapokuja suala la kukumbushia, ni ngumu kwa binadamu kusahau kila kitu sema kuna wengine wamezidi kukumbushia yani badala ya kuishi maisha ya sasa kila siku mpo past tense.
Nashukuru mungu kwa hili
 
Dah, sipati picha hii huwa inakuwaje,
yaani mnuno unakuwa umeuweka pending, kisha mzigo kama kawa!!lol.....
I wish i would be there watching you..................................
sehemu hizi ndio za kuonyesha kwamba alivofany sio vizuri unasubiriaaaa kwenye chorus unaanza kulalama huku chozi linatoka kabisa , kama hivi, mpenzi mbona unanitesa hivi, babe wangu jamani why all this, hapo anakwambia yoote
 
Mimi ni mzito wa kujishusha hasa kama sijafanya kosa!
 
kwa ninavyojua mimi wanaume wengi ni wagumu katika kujishusha na kama akijishusha kwa hilo ni lazima na yeye akutafutie sababu.
 
Mimi ni mzito wa kujishusha hasa kama sijafanya kosa!

Naona ndo unaamka bibie lakini usiogope hapo ni kuicheza ngoma kulingana na mapigo ya mdundo kupanda na kushuka hali tu ukishindwa fall @the mid point.
 
Back
Top Bottom