ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
wakuu, ni natumaini kuna wataalamu wa kila aina hapa. Hivi karibuni nimekuwa kijisikia mabadiliko Fulani Mara tu nitumiapo Tangawizi iwe kwenye nyama au Kitu chochote hata soda. Nilimtumia nahisi Kama moyo umebadili mapigo, kichwa kinauma kwa mbaaali na kuhisi "unease" Fulani. yaani hovyo hovyo...kuna mtu alinishauri nitumie asali, nayo ikanifanya hivyo hivyo, nililetewa supplements zinaitwa "omega 3 na spurulina" nilipotumia usiku wake nikakosa usingizi Kama roho inatoka. Leo nimekula Chakula mboga imewekwa Nyanya chungu (ngogo), Hali imebadilika...Naombeni ushauri.