Kujisia vibaya baada ya kula Tangawizi

Kujisia vibaya baada ya kula Tangawizi

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
wakuu, ni natumaini kuna wataalamu wa kila aina hapa. Hivi karibuni nimekuwa kijisikia mabadiliko Fulani Mara tu nitumiapo Tangawizi iwe kwenye nyama au Kitu chochote hata soda. Nilimtumia nahisi Kama moyo umebadili mapigo, kichwa kinauma kwa mbaaali na kuhisi "unease" Fulani. yaani hovyo hovyo...kuna mtu alinishauri nitumie asali, nayo ikanifanya hivyo hivyo, nililetewa supplements zinaitwa "omega 3 na spurulina" nilipotumia usiku wake nikakosa usingizi Kama roho inatoka. Leo nimekula Chakula mboga imewekwa Nyanya chungu (ngogo), Hali imebadilika...Naombeni ushauri.
 
Mkuu una allergic ya vya vyakula nini? Kulikoni?

kama chakula hakikupendi mwilini mwako kiache tumia chakula kingine usilazimishe chakula kwako wewe

kinakuletea madhara tumboni. Kwa mfano mimi huwa sipendi kula biringanyi kwangu mimi linaniletea maradhi

ya Bawasiri (hemorrhoid) kwa hiyo situmii kabisa biringanyi au sili Adesi pia kwangu inaniletea madhara

tumboni mwangu lakini tangawizi Asali, nyanya chungu na vyakula vingine ninakula pasipo kuwa na shida

yoyote ile sasa ukiona chakula fulani unakula kinakuletea madhara jaribu kukiacha usingojee mpaka upate

ushauri wa Ma-Daktari.
 
mkuu hivyo vyote nilikuwa nakula.ni Hivi karibuni tu nimeanza kuhisi Kama vinanipeleka. kwa mfano Jana nimepata mchemsho wa samaki sikujua wameweka viungo gani. nilipomaliza tu nikahisi nipo hovyooo. nikasukumwa na nafsi labda nikapime BP nakula 105/67 sasa sijajua ndo chanzo au lah.
 
Back
Top Bottom