Mkuu una allergic ya vya vyakula nini? Kulikoni?wakuu, ni natumaini kuna wataalamu wa kila aina hapa. Hivi karibuni nimekuwa kijisikia mabadiliko Fulani Mara tu nitumiapo Tangawizi iwe kwenye nyama au Kitu chochote hata soda. Nilimtumia nahisi Kama moyo umebadili mapigo, kichwa kinauma kwa mbaaali na kuhisi "unease" Fulani. yaani hovyo hovyo...kuna mtu alinishauri nitumie asali, nayo ikanifanya hivyo hivyo, nililetewa supplements zinaitwa "omega 3 na spurulina" nilipotumia usiku wake nikakosa usingizi Kama roho inatoka. Leo nimekula Chakula mboga imewekwa Nyanya chungu (ngogo), Hali imebadilika...Naombeni ushauri.
Mkuu una allergic ya vya vyakula nini? Kulikoni?
kama chakula hakikupendi mwilini mwako kiache tumia chakula kingine usilazimishe chakula kwako wewe
kinakuletea madhara tumboni. Kwa mfano mimi huwa sipendi kula biringanyi kwangu mimi linaniletea maradhi
ya Bawasiri (hemorrhoid) kwa hiyo situmii kabisa biringanyi au sili Adesi pia kwangu inaniletea madhara
tumboni mwangu lakini tangawizi Asali, nyanya chungu na vyakula vingine ninakula pasipo kuwa na shida
yoyote ile sasa ukiona chakula fulani unakula kinakuletea madhara jaribu kukiacha usingojee mpaka upate
ushauri wa Ma-Daktari.