Kujisikia kichefu chefu wakati wa kula

msd

Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
50
Reaction score
8
JF Doctor
Mimi ni Kijana wa Miaka 29 kwa week mbili sasa nimekumbwa na tatizo ambalo sijui ni nini,Ila for the last two weeks nilikuwa na matatizo{Stress} na nilikuwa najitahidi kujilazimisha kula ili nisije kupata matatizo na namshukuru Mungu matatizo yameisha lakini tatizo ni kwamba kila nikila siwezi kumaliza chakula kwani najisikia kichefuchefu na huwa wakati mwingine natapika,nimefanya checking ya Malaria ikaonekana hamna kitu,najitahidi sana kula hata kama sina hamu lakini nitakunywa vitu vya majimaji na kadhalika,kwa kweli najiuliza tatizo nini,naomba Doctor unisaidie kuna symptom ya Ugonjwa wowote?
 
Sometime Food Poison Usile sana Chips za Mitaani wanapikia Mafuta ya Transformer mimi najuta nilikula Chips Kuku pale Msasani baada ya Maduka ya Namanga usiombe nilikuwa Natapika balaa nilika chochote hawa watu watatuua
 
Hata mimi nina tatizo hilo nikila chakula chote kwa mkupuo lazima nisikie kichefuchefu huwa nakula kidogo naacha nbaada ya dakika tano akula tena kidogo naacha hadi namaliza kula nikila moja kwa moja lazima nisikie kichefuchefu na kuna wakati natapika kabisa
 
Sometime Food Poison Usile sana Chips za Mitaani wanapikia Mafuta ya Transformer mimi najuta nilikula Chips Kuku pale Msasani baada ya Maduka ya Namanga usiombe nilikuwa Natapika balaa nilika chochote hawa watu watatuua
Hivi haya mafuta ya transformer yana nini mbona wanapenda sa kuyatumia ilihali mafuta hali ya kupikia yapo ya kila aina na hayana gharama.
 
hiyo itakuwani minyoo.
 
hiyo ni mimba changa. tunaomba ututunzie mtoto wetu hadi ujifungue, hizo stress zisikufanye usimthamini mwanetu. hongera sana. mia
 
Rubi asante kwa ushauri ntajaribu kunywa dawa za minyoo ntakuja kukupa matokeo hapa nina miaka mingi sana sijanywa dawa za minyoo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…