Kujisikia vibaya kila unapofika wakati wa kwenda kuoga.

Kujisikia vibaya kila unapofika wakati wa kwenda kuoga.

Mkuu, Mom Fay yaani shida ya huyu naona yeye na maji tofauti kabisa sasa sijui utamnyenga vipi ili aoge!

mimi hata sijajua ni kwamba anaogopa maji ya barid au ni uvivu!...au anasahau huo mda,au anakuwa bize,sijajua sababu,pia na umri wake,na anaishi na nani
 
nitakutumia popo bawa ndo uwe na nidhamu ya kuoga
 
hilo ni tayizo aiseee daaa pole sana endelea kujilazimisha hivyo hivyo utazoea kuoga daaa sijui ungekuwa unaishi njombe ingekuaje
 
hilo ni pepo la uchafu lishindwe na lilegee endelea kujilazimisha hilo pepo litakutoka lenyewe kama tu ukiwa msafi
 
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?

Tafuta demu,
swala lako litapata ufumbuzi!
 
umenikumbusha mwl mmoja ambaye yeye huwa hawez kuoga asbh lkn ana tatizo manake huwashwa sana na maji akiyakoga asbh.

sasa ipo siku nilimuuliza ivi siku akioa af akapiga mng glory atakujaje kazin?? alidai nitajisponji?? yaani nilicheka sana na mpaka leo nimecheka nilipokuwa nasoma uzi wako
 
Fanya sana mazoez ili jasho ling likutoke na hapo ndo utakuwa mwanzo wa ww kupenda kuoga
 
Unaweza kuta mazingira ya bafu ni hovyo ndio maana, ebu jitahidi usafiri hata nje ya mkoa ulipo nenda hata hotelini (40,000-80,000 p/n) unaweza ona tofauti. Huku jakuzi, huku steaming shower, mara swimming pool utaoga tu.

Afu punguza kutumia sabuni vipande wkt wa kuoga zinaboa sana mara inaanguka...tumia zako Nivea ile ya 2L saafi hutaona uvivu
 
Back
Top Bottom