Mkuu, Mom Fay yaani shida ya huyu naona yeye na maji tofauti kabisa sasa sijui utamnyenga vipi ili aoge!
Nataka amtengenezee dawa ya nguvu za kiumeni. Akiwa na demu tunahamisha tatizo, itakuwa kazo yake kumsimamia aoge na kumsugua mgongo!
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?
Wapo humu humu JF?