Aisee!!watu watalazwa kwa vicheko kwa hizi comment [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kweli mkuu alafu unakuta kuna mjinga mjinga anakuletea kauzibe anakaa karibu na msalani kama hamna sehemu nyengine za kwenda kukaa
Nikikukuta nakukata makofi maana raha ya kukata gogo uwe na uhuru wa kujiachia maana vinaweza kushuka vitu na milio ya vuvuzela,tarumbeta,mabumu,risasi,yani chochote kinaweza kutokea.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Aisee una visa na mbavu zangu duh!!Kweli mkuu alafu unakuta kuna mjinga mjinga anakuletea kauzibe anakaa karibu na msalani kama hamna sehemu nyengine za kwenda kukaa
Nikikukuta nakukata makofi maana raha ya kukata gogo uwe na uhuru wa kujiachia maana vinaweza kushuka vitu na milio ya vuvuzela,tarumbeta,mabumu,risasi,yani chochote kinaweza kutokea.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaweka silencer. Huu uzi una comment vunja mbavu.Kama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi
Wanakutamani hao....
kasie mahaba...... toa kaushuhuda kadogo basi mamaa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi
Kwingine hakuna shower nikavu hivyo hivyo unaingia na maji yako sasa yasitoshe utoke bila kunawa vizuri, wanaziba na pua kabisaHahaha,unajua ile unaingia halaf unafungua shower kwanza au bomba ya maji ili ukianza achia mashuzi saut isisikike,hahahahahah,..noma sana,...
madem zangu wakijaga kwangu hua siwaon wakiingia washroom kuny*a hata sku1
hahahah dah, dah silencerKama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi