kujistukia unapoenda msalani

kujistukia unapoenda msalani

Kweli mkuu alafu unakuta kuna mjinga mjinga anakuletea kauzibe anakaa karibu na msalani kama hamna sehemu nyengine za kwenda kukaa

Nikikukuta nakukata makofi maana raha ya kukata gogo uwe na uhuru wa kujiachia maana vinaweza kushuka vitu na milio ya vuvuzela,tarumbeta,mabumu,risasi,yani chochote kinaweza kutokea.
Aisee!!watu watalazwa kwa vicheko kwa hizi comment [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi
 
Kweli mkuu alafu unakuta kuna mjinga mjinga anakuletea kauzibe anakaa karibu na msalani kama hamna sehemu nyengine za kwenda kukaa

Nikikukuta nakukata makofi maana raha ya kukata gogo uwe na uhuru wa kujiachia maana vinaweza kushuka vitu na milio ya vuvuzela,tarumbeta,mabumu,risasi,yani chochote kinaweza kutokea.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Aisee una visa na mbavu zangu duh!!
 
Hahaha,unajua ile unaingia halaf unafungua shower kwanza au bomba ya maji ili ukianza achia mashuzi saut isisikike,hahahahahah,..noma sana,...

madem zangu wakijaga kwangu hua siwaon wakiingia washroom kuny*a hata sku1
 
Kama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaweka silencer. Huu uzi una comment vunja mbavu.
 
Jaman hamnaa vyoo vilivuonipa shida kujisaidiaa kama vya block 7 udsm daaaaah yaaan mpkaa namalizaa chuo kupuuh ilikuwa ni ya tabu tabu labda siku za weeknd ndo kidogo nilikuwa naenjoy kupuuh ilaa chuoni nako timing muhimu saaaana sema uzuri wake tulikuwa tunasindikizana mmoja anabaki mlangoni ana kulindiaa mtu asije akaingiaa
 
Kama kula mna kula hadharani tena mnaita msosi wa kweli baada ya kula vizuri lazima ukakate gogo wala hamna haja ya kujificha au kuona aibu tule hadharani tunye hadharani kwa nini tunajificha wakati wa kupupu
 
Kama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha,unajua ile unaingia halaf unafungua shower kwanza au bomba ya maji ili ukianza achia mashuzi saut isisikike,hahahahahah,..noma sana,...

madem zangu wakijaga kwangu hua siwaon wakiingia washroom kuny*a hata sku1
Kwingine hakuna shower nikavu hivyo hivyo unaingia na maji yako sasa yasitoshe utoke bila kunawa vizuri, wanaziba na pua kabisa
 
Kama huku kwetu kigogo, unakuta choo kipo juu juu, unakuta wadada wamekaa kwenye ngazi za kupandia chooni, sasa ukiingia ndani ukianza kuachia labda utangule kwanza ufyuzi, sasa huo ufyuzi kama ulitoa bila kuweka silencer, kutoka inakuwa shuguli, unaweza anguka kwenye vingazi, hata wakicheka kwa mambo yao unahisi wanakucheka wewe, bongo balaa,hasa huku kwetu uswazi
hahahah dah, dah silencer
 
Back
Top Bottom