Kujitoa CWT

Kujitoa CWT

matc

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
260
Reaction score
45
Wadau naomba mnisaidie najitoa vipi kwenye makato ya CWT?
 
Mkuu kwani uliingia vp?,tumia njia ileile uliyoingilia
 
Pole humo unakuwa memba kwa sheria ili mradi tu uwe ticha
 
Huwez kujitoa kwenye makato lakini unaweza kujitoa uanachama mzeya.
Habari ndio hiyo.
 
Ni jambo jepesi tu. Nenda mahakamani kaweke pingamizi. Wataamrishwa kwa maandishi wakuondoe.
 
Ni kwamba andika barua kwa mwajiri ya kuomba kujitoa kwenye hicho chama,utatolewa kwenye chama na makato yatasitishwa!!

Kuna waraka mpya wa utumishi wa umma unaoelezea suala hili la vyama vya wafanyakaz na namna ya kujitoa!!

Inaruhusiwa kabisa kujitoa!
 
Inawezekana kujitoa kwa hao matapeli.Inategemea kama ulijaza fomu ya TUFno6 wakati wa kujiunga.Kama hukujaza unaweza kudai fidia ya makato yako.Kuna waraka no1 wa serikali wa mwezi may 2013 unaokataza waajiri wote kuacha kukata wafanyakazi bila ridha
 
Walimu wa mbeya wameshaanza kuachana na cwt baada ya kuona hakuna maslah (CHAKEMWATA) ni umoja wao.Huko mwanza wapo wana TTN na Kigoma kuna CHAWAHUTA hivyo ni vyama mbadala kwa ajili ya kuwashtua hao cwt kwamba wao si Mungu
 
Ndugu yangu mwalimu wa sekondari Moshi mjini(manispaa) anatafuta mwalimu wa kubadilishana aliyeko Kilosa-Morogoro.Piga 0756693681.
 
Back
Top Bottom