Inawezekana kujitoa kwa hao matapeli.Inategemea kama ulijaza fomu ya TUFno6 wakati wa kujiunga.Kama hukujaza unaweza kudai fidia ya makato yako.Kuna waraka no1 wa serikali wa mwezi may 2013 unaokataza waajiri wote kuacha kukata wafanyakazi bila ridha
Walimu wa mbeya wameshaanza kuachana na cwt baada ya kuona hakuna maslah (CHAKEMWATA) ni umoja wao.Huko mwanza wapo wana TTN na Kigoma kuna CHAWAHUTA hivyo ni vyama mbadala kwa ajili ya kuwashtua hao cwt kwamba wao si Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.