Habari zenu nyote.
Nipo hapa kwa ajili ya kujitolea kazi ya uangalizi mgonjwa, mlemavu, nk majumbani.
Age 28
Jinsia KE
Malipo atakadiria boss mwenyewe kwasabbu sina experience yoyote ila ipo nafsini hii kazi🙏Habari!
Hongera sana kwa moyo wako wa kipekee.Habari zenu nyote.
Nipo hapa kwa ajili ya kujitolea kazi ya uangalizi mgonjwa, mlemavu, nk majumbani.
Age 28
Jinsia KE
Malipo atakadiria boss mwenyewe kwasabbu sina experience yoyote ila ipo nafsini hii kazi🙏
Pombe zikikuisha utajiona ulivyo fala!.....Unajua kukarangiza mahanjumati?
Amina🙏Ikabarikiwe sana kazi ya mikono yako, moyo wako wa kujitolea, AMEN!
Ameen 🙏Kila la kheri, Mungu akufanyie wepesi upate hiyo kazi
Amen
AsanteAll the Best
AmenKila la kheri, Mungu akufanyie wepesi upate hiyo kazi
Thanx but kupata hii kazi ni nadra mpk sasa sijapataOne in a Million, May your wishes comes True
Amen connection ni muhim maana sjapata mpk sasaGood, utangulize na uaminifu
Una umri gani?Amen connection ni muhim maana sjapata mpk sasa