yunus75
Member
- Dec 27, 2023
- 11
- 10
Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza kunilipa hata kiasi kidogo ili niweze kuendeshea maisha huku nikisubiri fursa kubwa ambazo zinaweza kujitokeza hapo.
Je, mawazo yangu yatakuwa sahihi au ninakosea wapi kwenye hili ninaloliwaza.
Ninasoma BBA business administration kwa sasa.
Je, mawazo yangu yatakuwa sahihi au ninakosea wapi kwenye hili ninaloliwaza.
Ninasoma BBA business administration kwa sasa.