Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Umemaliza Kila kitu bossNinaona Taifa linajengwa lenye chuki na Roho mbaya tena lililokosa uzalendo na utu.
Kama serikali inahitaji kuendeleza na kudumisha umoja wa kitaifa, Haki na Amani ni vyema waanze na vijana.