Kujitolea (Volunteer) imekuwa tabia kandamizi katika mfumo wa ajira nchini

Ninaona Taifa linajengwa lenye chuki na Roho mbaya tena lililokosa uzalendo na utu.

Kama serikali inahitaji kuendeleza na kudumisha umoja wa kitaifa, Haki na Amani ni vyema waanze na vijana.
Umemaliza Kila kitu boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…